Hello!
Salaam kwa wadau wote wa Jamiiforums,Napenda nichukue fursa hii adhimu kama mwanachama mpya wa Jamiiforums kuwatakia Heri na fanaka katika Mwaka huu wa 2019.
Hakika Naamini ni kwa neema tu...
Hello wanajamii forum,ni member Mpya. Sina mengi Zaid Ya kuwatakia mwaka wenye mafanikio kwenu na Familia Zenu. Mungu hawatangulie kw Kila jambo LA heriii...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini
Jamani nimechungulia kwa nje yapata miaka mitatu, na kwa sasa nimeonelea ni vyema nikajisukumia ndani ili nami nifaudu Vinono vya humu.wakati nipo kwa nje nimevutiwa na watu wengi tu...
Madhumuni ya ndoa
Ndoa ni haja ya kawaida kwa kila mwanadamu. Inayo manufaa mengi na mazuri, baadhi ya hayo manufaa mengi na mazuri yaliyo muhimu ni haya: Ujengaji wa familia ambayo kwayo mtu...
Jamani jamani, nmeamua kuachana na mitandao yote ya kijamii na kujiunga ktk familia hii kama syo ukoo huu wa wana jf ili kuwa nanyi pmj ktk yanayo jiri na kubadilishana mawazo na mambo yote ya...
Habari zenu wakuu.
Hatimaye nimejiunga rasmi JF baada ya kuwa anonymous kwa kipindi cha miaka miwili. Alienifanya nimejiunga ni rafiki yangu Mzigua90 baada kuona app ya JamiiForum kwenye simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.