assalamu alaykum!
Ni muda sasa nimekuwa na rafiki yangu XX amekuwa akinishawishi nijiunge JF, eti anasema kuna watu wana busara sana, wana hekima sana na michango yao ni hazina kwa JF. Mimi kama...
Habari zenu wandugu? nimekuwa mudau wa jf kwa miaka 2, nimejiunga mwaka jana...nimekuwa mshirika kamili july mwaka huu. Ushirikiano wenu ni muhimu naamini kwa pamoja tutajifunza na kuzooea...
Baada ya kuperuz jf kwa muda mrefu sasa nmeamua kufungua account ili nifaidi vya jf vizuri,, fanya kama unankaribisha bac
Sent using Jamii Forums mobile app
Hodi hodi jamaani, wenyeji mpo??
Mimi ni mgeni humu, sijawahigi ingia katika familia hii na kuwajulia hali.
Naomba nipokelewe na kukaribishwa kiroho saafi..
Natumai na nataraji kuwa na...
Wakuu humu ndani nimeingia tokea mwaka 2013. Kumbukumbu yangu inaonesha sijawahi kuja hapa kuutambulisha ugeni wangu kwa wenyeji wangu. Ingawa miaka yote hiyo nilikuwa member mwenye utiifu wa hali...
Kama subject yangu inavyosomeka hapo awali nilikuwa mpenzi mtazamaji wa jukwaa hili ila kutokana na vyuma kukaza na changamoto nyingi za kutafuta mkate wa kila siku huwa nakimbilia kwenye hili...
Habari za humu
Nafurahi kuanza mwaka na familia hii ambayo kwangu ni mpya, ninaamini ni familia yenye upendo, nitajifunzamengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari yenu wote hap JF I am a new member.
Nimekuwa msomaji mzuri wa JF tangu 2007, but its now that i decide to formally register myself in this family after i have realized that by not being a...
Hodi hodi waungwana..
NATAKA KUIFANYA JAMII FORUM IWE KAMA TORONTOO
Niambieni ni mambo gani naruhusiwa kufanya na nisiyoruhusiwa kufanya
Jamii forums ?
Ni watu gani maarufu humu jamii forum jamani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.