Ninawasarimu wote humu ndani wakubwa shikamoni na wadongo pia shikamoni. Kwa mda mlefu nilikuwa natumiya facebook nimewona niache na kuja hum jamii forum naomben mnikalibishe asate sana.
Napenda kuwasalimu wanajf wote pamoja na uongozi wa JamiiForums.Nimekuwa mfuatiliaj wa Jf kwa zaidi ya mwaka ila leo nimeona niwe mwanafamilia ili kwa pamoja tujenge taifa letu.
Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.