Utambulisho (Member Intro Forum)

Say hello and introduce thyself to the other JF members...
Jamani mimi ni mgeni hapa jf niko Mombasa, nadhani ntajifunza mengi zaidi
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mimi mgeni jamani nahitaji pia kujifunza mengi toka kwenu. Asante.
0 Reactions
8 Replies
774 Views
Member mpya from unyaturu nipookeni
2 Reactions
13 Replies
1K Views
HABARI wenyeji hodi humu mgeni mwingine nimeingia.
3 Reactions
5 Replies
626 Views
Jaman me mgeni uku jf ya nchi yetu Tanzania nipo na furaha sana kupata mengi ya ushauri na elimu mbalimbali kutoka kwa waelimika pia karibuni Botswana
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Bado nina kamba mguuni mnipokee
0 Reactions
60 Replies
3K Views
hellow guys im new in jf hi
0 Reactions
6 Replies
811 Views
nahitaji ushirikiano kutoka kwenu please!
1 Reactions
9 Replies
823 Views
Naitwa Stima Voltage Ninaurefu wa ft 6'5 Umbo la miraba Mkazi wa Dar Ninafanya kazi nyingi sana nzuri nzuri Sina kiba100 please naomba mnipokeee
1 Reactions
9 Replies
862 Views
Habari wana JF hususan wageni wanaoendelea kujiunga na waliojiunga. JF ni forum ya kuheshimika na hata Serikali inataitambua vyema. Ni vyema tukakitumia chombo hiki kama kilivyokusudiwa na isiwe...
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Cơ hội nào cho sự phát triển của hoạt động bán đất Điện Thắng giá rẻ? Bất động sản Quảng Nam đang có những bước chuyển mình đầy mạnh mẽ. Đây chính là điều được nhiều nhà đầu tư mong đợi lâu nay...
0 Reactions
1 Replies
674 Views
Husikeni na mada tajwa hapo juu, Mimi First Born 79 nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa wala kulazimishwa na mtu yeyote nimeamua kuumia jina langu la ALVIN A. badala ya ile ID ya mwanzo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habar zenu wapendwa, mimi ni mgen humu naomba mnikaribishe
0 Reactions
6 Replies
521 Views
Nimefurahi sana kujoin JF,Forum ya ukweli kwa mawazo, msaada, kujifunza n.k. Nipokeeni"
1 Reactions
7 Replies
1K Views
hodi hodi naingia
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Finallyyyyyyy I'm in!!! hodi jaman!
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Hodiii wana JF mimi mgeni hum
0 Reactions
4 Replies
799 Views
Nipo humu tangu Machi mwaka huu lakini kutokana na sababu mbalimbali za kimaisha nikatoweka But now nimerudi naomba nijitambulishe kama Wáng 255. One love wadau wangu
2 Reactions
10 Replies
911 Views
Humu ndo Jf...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Makofi kwa mgeni jaman anaitwa babibo mpe neno .nimeangaika sana kujoin na nyie mpaka nikaweza so now tupo pamoja
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom