Habar wana jf
Mimi kijana mwenye kiu ya kutaka kujua lugha ya kigen inayo trend dunian ( Kiingereza).
Kama headline inavosema naomba kujua RAS SIMBA kweli anajua kwa wale waliopita kwake na je...
baada ya kuhangaika mnoo hatimaye nimejiunga na jamii forums sasa nitaweza kuwasiliana kwa karibu na baadhi ya wanajukwaa niliopata kuvutiwa na thread zao kama mshana jr,gudume,gentamyn...
Tangu mwaka 2016 nimekuwa msomaji Wa habar mbalimbali jf bila kuwa member kamali lkn Leo namshukuru mungu kwa kuwa member.my take no kwamba nitajifunza mengi maana najua jf imejaa watu wenye hali...
Nawaslimieni member wote wa JF mana nikitambo sijaingia humu toka nitapeliwe kasimu kangu nilikokapata kwa jasho na damu.
Sasa naona Mungu kanikumbuka nimezawadiwa kasimu kengine hivyo nipokeeni...
Naitwa Dulla Same kutoka Mtwara ila sometimes naishigi Dar es salaam
My hobby is to be a model
So naomben support yenu
Facebook : Dulla Same
WhatsApp, call or sms +255717675101
Instagram...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.