Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao Musoma vijijini. Na baada ya...
Naitwa PaAmandu natokea Nyankongochoro Geita, Kwasasa nipo Dsm, ni mgeni humu nipokeeni.... Pia kama kuna wadau wa Sengerema ni vema tukafahamiana... Ahsante
Hellow naitwa Hussein Msoleka all the way from Dar Es Salaam I'm a university scholar holding BAED in history and Swahili language also I'm a footballer though kama kuna team around Ukonga Banana...
Nadhan jina langu sio la mihmu humu.. Ila ni mgeni na ningependa kujitambulisha...Mimi ni mfanya biashara anayejishughulisha na SEO, Digital makerting na Lead Generation.
Nadhan, ntakuwa nashare...
Kama mnavyoniona niko ndani ya nyumba. Nikaribisheni kiti tu maana nina hamu ya kujua yanayoendelea humu. Nimekuwa nikiwasoma tu kwa juu juu nikagundua kuna mengi humu tena ya kutosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.