Natumaini mpo poa.Mimi hapa ni mgeni humu nimevutiwa kuingia humu baadaya ya kuwa msomaji wa mambo mbalimbali humu
muda mrefu nikiwa kama guest naomba mnipokee.
Wakuu naomba nieleweshwe inakuaje kuaje mpaka mtu anakuwa Jf-expect member, yan stage anazopitia na naomba nieleweshwe vyeo vyote vya members humu kwa mtiririko sahihi,
Shukran
Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao kusoma vijijini. Na baada ya...
Asalaam wakuu.
Nimekuwa mfuatiliaji wa mda mrefu kidogo kwenye majukwaa mbalimbali yaliyomo humu jamvini.
Nimefurahishwa sana na jinsi watu wanavyo wasilisha mada mbalimbali na uwezo wao mkubwa...
Ndugu watanzania wenzangu nawaombeni sapoti yenu yangu kwenye nyimbo yangu mpya .kuitazama vizuri ingia you tube kwenye channel yangu natumia majina (darkhan media )
Salaam wakuu wote,
Baada ya kuwa mfuatiliaji wa muda mrefu nimeona ni vema nikaungana nanyi wanajamii,hivyo naombeni mnipokee kama mgeni wenu humu ndani,
Shukrani sana kwa wote.
Wasalaam.
Ninafuraha sana ndugu wana bodi kujiunga leo na jukwaa hilo.naombeni ushirikiano wenu akina mshana,demiss.shukrani zimwendee MTU mmoja nisiyefamiana kwa kunisaidia sana nimemsumbua usiku kwa...
Najisikia Furaha sana Kuungana Nanyi ndugu Zangu Katika Jukwaa hili adhimu la JF hii Leo. Naombeni mnipokee kwani naamini jukwaa hili ni chumvi ya Maarifa mapya na chakula cha Ubongo pia..Asanteni