Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau naombeni msaada Nina simu yangu ya itel tachi Simu yangu ikiwa haina salio la vocha au kifurushi nikipigiwa simu nakua sipatikani hewani kabisa angali simu iko ON hadi pale nitakapo eka...
1 Reactions
6 Replies
885 Views
Nahitaji msichana wa kazi nipo Dar ambaye ni muadilifu atakayekwenda na mimi kanisani, niko na mtoto mmoja.Mshahara wangu ni 70,000 namba yangu ni 0762071092
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nyumba inàpangishwa self container Inàvyumba vitatu kimoja master,parking kubwa luku na maji yapo ,nyumba IPO karibu na kituo cha dalàdalà na kanisa la mwamposa,kodi 300,000/ 0713507156 au 0684874573
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza sandals za Kike na za kiume Kwa bei ya jumla na kawaida Cont : 0714028529 ( call / text / WhatsApp ) Instagram: #futureview_trendsandals
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Husika na Kichwa cha Habari, call 0786170220, Mwanza.
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Jezi mpya ya arsenal original nitaipata wapi wakuu hapa dar
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TZSH 60000/= Size 40/41/42/43/44/45 DAR UNALETEWA MIKOANI TUNATUMA MAWASILIANO O654866658
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu ipo poa Nauza sababu nimeupgrade na hii siitumii tena Kila kitu kipo poa Piga 0786434298 Nipo dar es salaam kariakoo 650,000Tsh
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mambo wapendwa Kama unahitaji mbegu za chia. tuwasiliane mapema. Kilo ni 12000, kwa walio nje ya mwanza nitawatumia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp wajasiriamali? Naomba kujua bei na wauzaji wa nyaya za uzio, na mikoa muuzaji anayoweza kufikisha mzigo. Nataka zile za muundo wa mkeka (sio senyenge).
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nahitaji game ya fifa 14/15 nicheck niweze kuweka kwenye PC yangu.. Popote Dar es salaam Nicheck 0692603477
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Subwoofer; Mr.uk spika 4. Inauzwa ; LAKI 150,000. Inatumia; Bluetooth, flash,memorycard,Rimont. Volume; 60. Umeme wa; Ac/DC. Warrant mwaka; 1. PIGA; 0677423349. WHATSAPP; 0677423349. FACEBOOK...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kigae kutoka UK. Kinauzwa bei Rahisi zaidi kulinganisha na Bei za hapa Tz. Imara na Hakipauki. OG kabisa.
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Habari nyote, Napenda kuwakaribisha kwa huduma zetu. Tunapulizia dawa za kuuwa wadudu warukao na watambaao,majumbani na maofisini.Huu ni muda mzuri kuangamiza haswa mbu ukichukulia ugonjwa wa...
0 Reactions
0 Replies
715 Views
*EVATONY ELECTRONICS SOLUTION* tunatoa huduma za ufundi(repair) na maboresho(maintenance) ya vifaa vya maofisini na stationeries. Vilevile tunafanya network configuration kwenye photocopier...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Bei ni nafuu sana Gari zote zina hali nzuri tuwasiliane Kwa namba 0788752672 " only serious customers plz"
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Karibuni sana watu wote wa kanda ya ziwa tuuziane na kununua bidhaa hapa.. Cha kufanya Post bidhaa yako hapa Weka bei na mawasiliano Location uliopo Karibuni nyoote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TUNAUZA NDIZI MBICHI AINA MBALIMBALI KAMA VILE NDIZI UGANDA, MATOKE, KISUKARI, MSHALE N.K TUNAPATIKANA TUKUYU MBEYA. KWA YOYOTE AWEZAE HITAJI TOKA SEHEM MBALIMBALI TUWEZE WASILIANA KWA NA.0769 032...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kiwanja chenye banda nyakato kinauzwa,kipo sehemu nzuri sana imejificha kwa kujenga guest.Gari inafika mpaka kiwanjani na umeme upo na maji nyumba ya pili ni ya dawasco ya kuweza unganisha tu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…