Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu habari! Niko na shida ya kupata hizi mashine kwa haraka mno. Mashine hizi zote zinatumika kwenye kukunia nazi. Anayejua zinakopatikana, na bei na hata mawasiliano anisaidie please. Ahsante!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
****Ni dawa ambayo utatumia pia ukiwa unafanya mazoezi ya kawaida kwaajili ya matokeo mazuri na mabadiliko ya haraka**** ONDOKANA NA TATIZO LA; - Unene na uzito wa kupindukia - Vitambi kwa...
1 Reactions
4 Replies
818 Views
Njopekafarm tunauza mbegu za nanasi kwa bei nafuu ,tupo mkuranga pwani bei 150tzs
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Haina shida yoyote (Ni Manual), Ndo gari yangu ya kwanza, Naiuza kwakuwa nimepata nyingine. Iko Mwanza kama uko interested 0686527039 Bei 3.5M
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wrote, Naomba niwaaahirikishe jambo moja .Nikiwa mmoja wa wadau nikishirikiana na taasisi ya serikali inayojulikana kama National House Building Research Agency ,ambayo inapatikana mwenge...
4 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari wandungu....nihjtaji kukodi gari kwa matumizi ya siku mbili dar es salaam. Kagari kadogo saloon car kama ist au mark 2 grande itafaa. Mwenye kutoa huduma hiyo please inbox me.
0 Reactions
2 Replies
967 Views
Nahitaji frem kwa ajili ya kufungua duka la mahitaji mbali mbali ya nyumbani chumba kisizidi 60, 000 kwa mwezi. Kama upo jijini msaada tafadhali mi niko songwe so mda wangu wa kuja jijini ni finyu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba ipo kijitonyama Afrikasana na haiko mbali sana na shekilango road,na pia iko jirani na soko la Afrikasana. Vyumba 4 self, nk Size plot 400 sqm Bei 300m Maongezi zaidi 0756060183
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu habarini, nipo hapa kuomb msaada kwa yyte yule ambaye yupo china au aliwahi kupata scholarship ya china nahitaji msaada wake wa haraka. Natanguliza shukrani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kazi za ndani - Dar es Salaam (kwa mschana miaka18-20). Tuma SMS na Jina, Unapoishi wapi, Umri, Namba ya Kitambulisho cha Taifa. 0714010010
0 Reactions
5 Replies
823 Views
Nauza laptop HP ni used lakini cosmetic wise in nzuri sana ina 1TB , taarifa zaidi piga simu 0712652110 .Dar
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Receptionist/Front Desk position available immediately. Posta area, Dar es Salaam. 0714010010. Strictly no emails, or fake spam-CVs or smiley photos! Our boss doesn't need models but you must...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Hello Everyone Ninafungua a new Whatsapp group kwa wadau wote wa Movie,Series It is an Exclusive group yenye kiingilio Najua wengi mtakua mmeshangaa baada ya kusikia kuna kiingilio Here is why...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari , kama kichwa cha habari kinavojieleza nauza vitu vifuatavyo vikiwa katika hali nzur sana, Carpet /zulia la manyoya mengi-135000 Dressing table nzruri ya mbao -85000 Kochi la watu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Infinix s3 RAM 3GB ROM 32 Battery mah 4100 Android 8 Fingerprint sensor Camera 21mp Bei 250k Location Dar es Salaam Whatsup call msg 0657230449
0 Reactions
2 Replies
890 Views
Za sahiz wadau,naomba kuuliza kwamba fremu ya biashara mwenge naweza kupata kwa gharama gan kwa kila mwezi?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wakuu, Natafuta tairi na rim saizi 12 za suzuki carry . kwa anaeuza used(za zanzibar) au mpya tuwasiliane kwa haraka PM tufanye biashara. Asante.
0 Reactions
0 Replies
942 Views
..
0 Reactions
8 Replies
1K Views
tv yangu ina mstari wa kutoka juu mpaka chini.nipo temeke. karibu unitengenezee
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…