Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

naomben msaada jaman natafta KaZ ya duka.. m pesa, chips bucha na zngnezo contact 0685876726
0 Reactions
0 Replies
552 Views
habari wadau.. nauza brand new projector aina ya acer x 115 dlp ina lumens 3300 bei ni laki 6 kamili. sababu ya kuuza ni sijaitumia na naona sihitaji tena.. nina biashara ya photo studio na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za leo wana JF naomba kuuliza ni mtaji kiasi gani utanitosha kufungua duka la vyombo vya nyumbani niko Bumbuli Tanga
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Shamba LINAUZWA ukubwa wa ekari 16 Lipo mkuranga njia ya Kibiti bei ni 1,000,000/ @ ekari moja. Karibu kwa anaetaka
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa; Kama kichwa cha habari kinavyosomeka ninahitaji computer desktop kwa ajili ya watoto kujifunzia. Budget ni 200,000/=tzs. Kama unayo nicheki kwa namba 0765-741-591Kwa kutuma...
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Kwa hekima na busara zenu Wadau nahitaji kununua SIMU mpya dukani Naombeni msaada wa kujuzwa aina nzuri ya simu yenye uwezo mzuri wa internet ya laini mbili kwa kampuni yoyote inayo toa SIMU ORG...
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Kujifunza na kujua kuzungumza lugha ya kichina,wote chinese bridge training center inawatangazia wote ambao wangependa kujifunza lugha ya kichina nakujua kuizungumza kwaajili ya utalii,biashara na...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa sababu nisizojua, kanisa moja mjini kwetu limefungwa, na mali zake zote zinauzwa. Pamoja na vitu vingine, kanisa hilo lilikuwa linamiliki broadcasting station ya kisasa yenye 330kW Digital UHF...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wakuu Natafuta sehemu wanapouza magazeti (yale yanayotumiwa kufungashia vitafunwa kama maandazi,vitumbua n.k) kwa bei ya jumla
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu nyingi wadau wa JF. Leo nimekuja kivingine kabisa sio muziki bali ni biashara. Uwanja unauzwa kinyerezi. Umepimwa na anayeuza ni Mama yangu mdogo. Ukubwa ni urefu ni 54.6 Mita kwa 48.29...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Jipatie vijiti vya kuwashia mkaa(moto) kwa Tsh. 750/= jumla na Tsh. 1000/= reja reja. Kwa Dar unaletewa hadi ulipo na mkoani tuna tuma pia. #0620479092 #KijitiKimojaTuKinawashaMkaa
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habarini? Ndugu zanguni anayejua wapi nitapata au mwenye t-shirt V-Shape rangi ya njano sample pichani hapo, zinahitajika haraka pc kama 100 hivi. Bei iwe kawaida ile ya jumla karibu na ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama unataka kuuza au kununua chochote kati ya: gari, simu janja (smartphone), kompyuta mpakato (laptop), na "furniture" (samani za nyumbani). Njoo PM nitakuuzia au kukutafutia kulingana na bajeti...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Ukubwa: SQM 560 (25.5m × 22m) Kipo rwamishenye, Bukoba Manispaa. Ni km 3 kutoka katikati ya mji. Kina documents zote, huduma zote zipo maji, umeme, access ya barabara nzuri tu. Kipo mjini kabisa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu Niko Zanzibar nahitaji fudge kama 2 hivi, ni vitu gan vya kuangalia ili kupata fridge iliyo imara, na ni maeneo gan naweza pata mzigo
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Anahitajika mpishi wa jinsia yoyote mwenye uzoefu wa kupika vyakula vya aina mbali mbali na vitafunwa. Mgahawa upo kijitonyama karibu na chuo cha ustawi. Mshahara atalipwa sh. 120,000 kwa mwezi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wanaJF Mimi ni mjasiriamali mwenzenu toka Tabora nauza asali mbichi ya nyuki wadogo na nyuki wakubwa haijachakachuliwa hata kidogo, hutojutia ukinunua asali hii...bei ni poa karibu na...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
WAKAZ WA DAR NAOMBENI BEI ZA MASOKO YA BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI ZA MADEBE/NDOO LITA 20,AU KWA KILO,soya,ulezi,mahind lishe,ngano na UFUTA
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Wadau, nipo kwenye mchakato natafuta gari toyota ist iwe namba C au D, kwa aliye serious anichek WhatsApp no 0758204681
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom