Wadau....nina mahind tani 5,nnauza kwa kilo sh 740,anaehita kununua awe ni wa kash...nkifika kukuletea mzigo nikupima na kunipa pesa...nitafte 0766089646/0710925731
Wadau habari zenu, natafuta zile pump za umwagilia zinazotumia miguu kusukumia maji kama kuna mtu anafahamu zinapatikana wapi hapa dar tafadhari anielekeze
Wakuu, nina asali ya nyuki wadogo kutoka Tabora (original) kiasi cha lita tano (5 ltrs) nauza yote kwa pamoja kwa bei ya sh.100,000 tu, ninapatikana DSM , Kimara Temboni. Kama unahitaji njoo PM au...
UPDATES OF CAMERA PRICES
-CANON EOS 550D -PRICE-800,000/=
- CANON EOS 600D WITH 18-55MM OR 50MM-PRICE 870,000/=
- CANON EOS 700D WITH 50 MM PRICE 1.15M
- CANON EOS 1000D-WITH 18-55 MM PRICE...
Jipatie portable Huawei universal mifi router
Inaunganisha device zaidi ya 10
In a support mitandao yote #voda#tigo#airtel#halotel#ttcl#zantel#smile katika modes zote 3G na 4G
Inakaa na charge...
Camera aina ya
Nikon Coolpix P500
Ni mpya inauzwa
Location: Ubungo/Mawasiliano
Text:076792376
Call:0767923176
WhatsApp:0767923176
Quality Products & Services Is Our Destine
Camera aina ya
Nikon Coolpix P500
Ni mpya inauzwa
Location: Ubungo/Mawasiliano
Text:076792376
Call:0767923176
WhatsApp:0767923176
Quality Products & Services Is Our Destine
Hakikisha Usalama wa Mali yako kwa kufunga mfumo wa CCTV Camera kwa Gharama nafuu kabisa!
[emoji736]Gharama kwa Nyumba ya Kawaida ni Tsh1,500,000 (Vifaa na Ufundi)
[emoji736]Pia tunafunga Camera...
Kwa wale wafanyabiashara wa mazao hasa mpunga, naomba tujuzane bei ya mpunga ili tunaopenda kusteki nafaka tujipange kisaikolojia.
Huku niliko, pwani ya kusini Lindi, Mtwra na Tunduru(Ruvuma) bei...
Habari wakuu, nauza ofic niliyokuwa nikiitumia kuingiza kipato, ni library &play station,
ndani kuna
ps 2 tatu
flat screen nch 21 mbili
tv ya chogo nch 21 moja
Desctop complete 1
pads
flash 3 gb...
Karibuni nyumba yenye mabanda ya kuku pembeni inakodishwa tegeta masaiti inavyumba viwili ndani,choo na bafu, sebule na dining pamoja na nje Ina servant quarters ya vyumba viwili.chumba cha nje...
"Executive Succession" ni kitendo cha ubadilishaji wa uongozi katika kampuni, hususani Mtendaji Mkuu (Top Manager) kwa ajili ya kuongeza ufanisi. Wastani wa muda ambao Mtendaji Mkuu wa kampuni...
Habari ya wkend wanajamii forum,ni wakati wa mavuno napenda kuwatangazia kuwa nauza Chia seeds kwa bei ya tsh 6,000.kwa kilo endapo utaagiza kuanzia kilo 50,chini ya kiwango cha kilo 50 nitakuuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.