Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau habar za jion, nnauza mahindi gunia 60elfu napatikana manyoni singida, nitafte kwa namba0766089646 ,nipigie au nitumie mesej kwani siwez kureply mesej, kwakua admin hajani approve
0 Reactions
0 Replies
637 Views
For sale Subaru forester new model 2008 inauzwa Ipo arusha kwaanaye hitaji tuwasiliane Bei: Mil 24 Tafadhali kwa maelezo zaid njoo Au phone number +255 757 191 906 PM +255 757 191 906
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Tuna deal na upigaji picha, kushoot video za wedding, sendoff, k.party, birthday party,ubatizo, mikutano na vitu vingne vingi vinahusiana na upigaji picha karibu tukuhudumie hutajutia maamuzi yako...
0 Reactions
2 Replies
727 Views
Kuanzia sasa kwa mahitaji yako ya Clearing & forwarding, Documentation, utoaji wa Magari, Kontena + mizigo ya aina yoyote katika bandarini ya Dar es salaam na Airport tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vyote vinne viko pamoja kwenye eneo la ukubwa wa Mita 80 kwa Mita 33. Eneo limepimwa na lina hati. Ukubwa wa kila Kiwanja ni Mita 20 kwa Mita 33. Bei ya kila Kiwanja ni T.Shs 15,000,000/=...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu kama heading inavyosema je kuna mtu mwenye ujuzi anaweza kunipatia sehemu gani hizi pool table zinapatikana?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Iwe complete Ram Gb mbili na kuendelea Hard disk 200 Gb nakuendelea Nipo Mwanza nipe ofa yako.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu, mimi ni mjasiliamli mdogo, hutengeneza bites, chakula, na cakes. Ila ujasiriamali wangu hutegemea orders za wateja ndo niandae.. Napatikana mwanza.. Kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba msaada wapi naweza kupata vanilla iliokuwa tayari kwa matumizi ila kwa bei ya jumla na ningependa pia kujua na bei zake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Imani kwenu ndugu zangu. Kwa hapa Dar wapi naweza Pata hii Deodorant na bei yake tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
15 Replies
4K Views
-Raum old model -Cc 1490 -Low in mileage Fuel use-petrol Mode of transmission-Automatic -gari ni nzima na inatembea -iko nkuhungu dodoma BEI-4800000 nichek 0656548919
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KICHAA CHA MBWA Ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vinavyoitwa Rabies lyssavirus Ugonjwa huu ni miongoni mwa magonjwa machache yanayoweza kusambaa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na serikari kupiga marufuku mifuko ya plastiki ni fursa kwako mjasiria mali kujifunza kutengeneza na kuuza mifuko maduka ya jumla na hata supermarket kuendana na fursa iliyopo karibu sana...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
XIAOMI REDMI NOTE 2 DUAL SIM Network 4g Display 5'5 Storage 16gb Ram 2gb Camera 13mp Selfie 5 Bei 120000/-
1 Reactions
1 Replies
693 Views
nauza machine ya kusagia Karanga " peanut butter" Bei ni 1.5 m inasaga gunia 2 kwa saa 1, ina motor ya HP 3 slow speed RPM 1450, ni mpya kabisa niya SIDO sio mchina. Niko mwanza Maelezo zaidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naitaji kununua 'marine board' zilizotumika lakini hazijachoka ili nitumie kwenye ujenzi; bajeti yangu ni Milioni moja kwa 50pc,niko Arusha.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya vijana tuna stress, hasa wale tulioenda shule na kuwa na matarajio ya kua billionaire baada ya ku graduate, lakini mambo yakawa magumu, mishahara midogo, nafasi za ajira finyu...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau kama kichwa cha habari kinàvyosema natafuta maderi ya kuhifazia vinywàji baridi yawe ya kuyavaa mgoñgoni au kifuani mfano kama Yale wànayouzia AZAM UKWAJU.Mwenye kufàhm yanapopàtikàna naomba...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Tunauza Mifuko Mbadala kwa bei poa A3 @ Tsh .200 A4 @ Tsh.100 Kuanzia Pc 50 Unaletewa popote na mikoani tunatuma Mawasilino zaidi piga/Whatsap 0692203833
0 Reactions
1 Replies
849 Views
•iphone 6s 16 Tsh 490000 •iphone 6 16G tsh 390000 Call/whatsapp 0654770800
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…