Wakuu salaam zenu.
Natafuta miche au mbegu ya Minazi Mifupi ya kisasa.
Ile minazi inayoanza kutoa nazi ikiwa ni mifupi kabisa.
Mwenge kufahamu inapopatikanika hiyo miche au mbegu anifahamishe...
Nahitaji line ya uwakala ya MPESA, Kwa haraka sana. maana niliyokuwa natumia imepata matatizo, wateja wangu wanalia.
Mwenye kuweza kunisaidia tafadhali.
Mawasiliano PM
NAUZA KIWANJA CHANGU MBEZI MSUMI CHENYE UKUBWA WA 21 X 20.
NISEHEMU NZURI YA KUJENGA NA KUHAMIA, UMEME UPO NA
PANAFIKIKA KWA GARI BILA SHIDA
BEI NI MILLION 7.5M
NICHEK 0762295954 KWA MAELEZO ZAIDI
Mfano ndio uooo....
Bei 1000-1500...zpo nyinge ainayoyote utakao..
Napatikana dar bakresa balabala ya mdizin...
Ni basically blowse za kike
Namb-0688674585
Tunatoa huduma ya uchimbaji visima na kufanya hydrogeological survey.
Gharama ya hydrogeological survey na kuchimbaji visima kwa mita hutofautiana kulingana na umbali wa site.
Tafadhali...
Salaam wadau..nahitaji korosho.Kama kuna mtu anadeal na hii biashara au anajua mtu au kampuni inayodeal na hii biashara pls tuwasiliane kwa namba 0686 666666.Asanteni
Nauza printer aina ya HP LASERJET M127 fn, ina;
print, copy, scan, fax na wireless (e print), pia Ina feeder juu.
BEI Tsh. 450,000/=
Note: ilikuwa kwa matumiz binafsi.
Mashine nyingine ni...
Sifa
vyumba viwilii kimoja master
Jiko
Public toilet ambayo iko ndan
Sebulee kubwa tu
Fensii na parking ipo
Bei ni laki 3(unalipa kwa miez 6)
Eneo ni Kikuyu st john
Status:Nyumba ni mpya kila...
Gari aina ya toyota carina inauzwa.....
specifications:
1. Ti carina 1998
2. CC: 1490, Engine 5A.
3. Haina AC ila mfumo wa ac upo vitu vingine vipo safi, gari haivumi imetulia barabarani.
4...
Kuna watu kama watatu nimewauliza swali km hili na wamenipa jibu linalofanana.
Wameniambia brand bora kwa sasa ni Samsung, LG na Star X.
Wajuzi wanipe maujuzi nisijenunua kitu feki
PATA TV YA STARTIME NA SOLA KWA MKOPO.
Tunatoa tv flat-screen inch 24 yasola yenye kingamuz cha ndan kilicholipiwa miaka miwili BURE+dish.solar panel ynye W30 na betr ynye uwezo wa 90W.inayoweza...
Hizi raba nilinunua kwa ajil kuvaa mwenyewe lkn zmenibana, so ukizielewa nirudishie hela
Ni namba 42 na Bei ni 20,000 tu.
Napatikana dsm mitaa ya tbt na posta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.