Toyota carina Ti inauzwa 4milion

Toyota carina Ti inauzwa 4milion

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
772
Gari aina ya toyota carina inauzwa.....

specifications:

1. Ti carina 1998
2. CC: 1490, Engine 5A.
3. Haina AC ila mfumo wa ac upo vitu vingine vipo safi, gari haivumi imetulia barabarani.

4. Haina ubovu wowote inatembea;njoo na fundi wako ajiridhishe ukipenda

5. Insurance inaisha mwezi huu.

6. Haina udalali

7. Gari ipo Dar es salaam na ukitaka kuiona ipo shekilango.

8. Maongez yapo kidogo sana.

9. kwa alie serious check wasap au piga simu: 0713 059509
 
Attachments

  • IMG_20180604_172521.jpg
    IMG_20180604_172521.jpg
    260 KB · Views: 231
  • IMG_20180604_172533.jpg
    IMG_20180604_172533.jpg
    269.7 KB · Views: 242
  • IMG_20180604_172612.jpg
    IMG_20180604_172612.jpg
    259.4 KB · Views: 223
  • IMG_20180604_172630.jpg
    IMG_20180604_172630.jpg
    316.6 KB · Views: 206
  • IMG_20180604_172650.jpg
    IMG_20180604_172650.jpg
    316.9 KB · Views: 173
  • IMG_20180604_172831.jpg
    IMG_20180604_172831.jpg
    322.9 KB · Views: 207
  • IMG_20180604_172844.jpg
    IMG_20180604_172844.jpg
    277.5 KB · Views: 197
  • IMG_20180604_175529.jpg
    IMG_20180604_175529.jpg
    284.3 KB · Views: 191
Gari aina ya toyota carina inauzwa.....

specifications:

1. Ti carina 1998
2. CC: 1490, Engine 5A.
3. Haina AC ila mfumo wa ac upo vitu vingine vipo safi, gari haivumi imetulia barabarani.

4. Haina ubovu wowote inatembea;njoo na fundi wako ajiridhishe ukipenda

5. Insurance inaisha mwezi huu.

6. Haina udalali

7. Gari ipo Dar es salaam na ukitaka kuiona ipo shekilango.

8. Maongez yapo kidogo sana.

9. kwa alie serious check wasap au piga simu: 0713 059509
Namba A million NNE?
 
Hili gari namba AUJ limeingia nchini mwaka 2009,kipindi hicho kununua gari Japan mpaka ku clear bandarini haizidi milioni 6, miaka 9 baadae unataka uuze milioni 4?,Uza 1 na nusu au mbili na wengine waendeshe walitoe barabarani.Tufike mahali tuwe Kama wazungu. Anyway.. Nisikuvurugie mchongo wanunuzi wanakuja wasubiri.
 
akizingatia comment yako basi atauza gari yake
 
Mbona baya sana halaf hela unayotaka sio kubwa ila tu haifanani na hiyo gari
 
Hili gari namba AUJ limeingia nchini mwaka 2009,kipindi hicho kununua gari Japan mpaka ku clear bandarini haizidi milioni 6, miaka 9 baadae unataka uuze milioni 4?,Uza 1 na nusu au mbili na wengine waendeshe walitoe barabarani.Tufike mahali tuwe Kama wazungu. Anyway.. Nisikuvurugie mchongo wanunuzi wanakuja wasubiri.
so? gari yangu usinipangie matumizi...over
 
Duh watu bhana, kama hununui si Ukae kimya tu?? Tuache Shombo kwenye biashara za wenzetu
 
Hili gari namba AUJ limeingia nchini mwaka 2009,kipindi hicho kununua gari Japan mpaka ku clear bandarini haizidi milioni 6, miaka 9 baadae unataka uuze milioni 4?,Uza 1 na nusu au mbili na wengine waendeshe walitoe barabarani.Tufike mahali tuwe Kama wazungu. Anyway.. Nisikuvurugie mchongo wanunuzi wanakuja wasubiri.
Umemaliza yote niliyotaka kusema.
 
Back
Top Bottom