Toyota carina Ti inauzwa 4milion

Toyota carina Ti inauzwa 4milion

Hili gari namba AUJ limeingia nchini mwaka 2009,kipindi hicho kununua gari Japan mpaka ku clear bandarini haizidi milioni 6, miaka 9 baadae unataka uuze milioni 4?,Uza 1 na nusu au mbili na wengine waendeshe walitoe barabarani.Tufike mahali tuwe Kama wazungu. Anyway.. Nisikuvurugie mchongo wanunuzi wanakuja wasubiri.
AUJ ni miaka ya 2007 hukoo
 
mkuu kwanini unakua na dharau kiasi hiki, why? yaani umezunguka kooooote huko umeona hapa ndio pakutuwekea hili tangazo kweli??? kweli??? poa tuu mwamba haina noma yote maisha.
 
Back
Top Bottom