Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Black in colour, namba c ni gari nzuri Na inatunzwa vzr sana na imewekwa tyres mpya kwa kuwa mmilili ni mtu wa Safari hivyo kuhusu safari hii gari ndiyo yenyewe. Full AC, full vibali na haidaiwi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Za humu ndani.. Naomba kuelekezwa wapi naweza Pata Hii Kitu... Asante
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF. Ninaitwa George Lulabuka. Ninafuga na kuuza Samaki aina ya Sato/Tilapia maeneo ya VISIGA Kila Samaki ana uzito wa 250g -300g (wanaingia wanne au watatu ktk kilo) Bei ya 1kg ni...
4 Reactions
7 Replies
7K Views
Wadau naomba msaada wenu tafadhali. Nahitaji sana T-SHIRTS mpya zisizo na maandishi yoyote popote za aina tofauti, rangi tofauti, zenye kola na zisizo na kola, za mikono mifupi na mirefu...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Nahitaji nyumba ya kupanga Mbeya mjini. 1 umbali usizidi km 5 kutoka stendi kuu, 2. Iwe na umeme na maji, 3. Isiwe na mpangaji mwingine, 4. Vyumba vitatu vya kulala
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari.... Kwa wale wanaohitaji kujifunza program ya kutengeza mziki maaarufu kama fl studio. [emoji1428] natoa mafunzo ya kuitumia kwa bei ya 40000-50000TSH kwa muda wa siku 10 Utakuwa umejua...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wakuu natafuta mtu mwenye mashine ya kukaushia zabibu au sehemu ambayo naweza pata/kununua hii mashine. Nipo hapa dar mwenye idea anipe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibuni katika ulimwengu wa Mini Crystal perfumes toka UAE [emoji1256] zenye ujazo wa 25 mls . Perfumes za kike na kiume Zinazotengenezwa chini ya leseni na [emoji769]️ za brand kubwa za perfumes...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Simu Tecno K7 inauzwa Bei 160k (laki na 60) Location dodoma Namba PM
0 Reactions
5 Replies
994 Views
Nahitaji photocopy machine nzuri naomba picha na bei zake ahsante
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari, Kuwa wakala wa tollofy application na upate asilimia 40 ya malipo chini ya kampuni ya Tollofy Technology Company Ltd. Tuma maombi yako kwa Whatsapp kwa kuandika jina lako kwenda namba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari; Je wewe unapenda kuwa muwekezaji katika startups? Je una uwezo wa kuwekeza kati ya TZS 25000 kwa mwezi hadi TZS 150,000 kwa mwezi? Je unaweza kuwekeza kiwango hicho cha Pesa kwa kipindi...
0 Reactions
4 Replies
953 Views
Habar km kichwa cha habar kinavyojieleza. Mm ni mdada wa miaka 22 natafuta eneo lenye mzunguko wa watu especially wadada tafadhali kwa alieona au anaefaham sehem kama hiyo tafadhali nsaidie...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
#Je unahitaji kuandikiwa Business Plan? #Je unahitaji kuandikiwa Business Proposal? #Je unahitaji ushauri wa biashara (Wazo, Biashara inayoanza, biashara ndogo na biashara za kati) Wasiliana...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Nauza Nguo za HARUSI - USA bei poa (bargain). Size (UK, US) No. 10, 12, 14, 16. 0786275045
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habarini za majukumu! Ukiona mtu analia ujue kuna jambo. Naleta kwenu ombi la msaada ili nipate angalau unga wa kula ili familia yangu nayo isherehekee sikukuu ya idd kama familia zingine...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Laptop kutoka Dubai mzigo umeingia njoo ukague jibebee yako ram 4 Gb HDD 500 processor i5 Kwa Laki tano kila moja bei inapungua kwa serious zipo piece 20 sifa nyingine kuu kioo chake unaweza Ku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NAUZA PRAWNS FRESH KILA SIKU MPAKA KUFIKIA SAA SITA MCHANA . BEI INATOFAUTIANA KUEINDANA NA SIZE YA PRAWNS. MWENYE UHITAJI TAFADHALI WASILIANA NAMI KUPITIA NAMBA 0763221924 WEKA ODA YAKO MAPEMA ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TYPE:TOSHIBA RAM:4GB STORAGE:500GB PROCESSOR:1.73GHz PRICE: 600,000 WITH BATTERY(battery 2.5hrs) 350,000 BILA BATTERYMachine iko vizuri kabisa nakupa na risiti bado iko kwenye warranty...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wakuu nimekuja kwenu natafuta geti kama kwaajili ya flemu za duka pia ambaye anauza nivizuri angetoa na bei yake flemu zenyewe zina upana wa futi sita na urefu wa futi Tisa.
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Back
Top Bottom