Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za wakati huu; Je wewe ni mjasiriamali mdogo na wakati? Je wewe ni mjasiriamali unaeanza biashara? Je unahifadhi vipi taarifa za biashra yako Je unafuatiliaje utendaji wa Biashara yako...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Pine disinfectant ni sabuni ya kusafisha vyoo na kuondoa harufu kali za chooni na pia inaacha harufu ya pine ambayo inalast muda mrefu. Penda choo chako utumie hii sabuni,hautojutia Inapatikana...
0 Reactions
0 Replies
44K Views
Nauza Smartwatch yenye uwezo wa kufanya yafuatayo: -Ni touch screen yenye size ya 1.54 TFT" -Ina camera unaweza kupiga picha ukiweka memory card. -Ina uwezo wa kuweka simcard na memory card...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Lina umeme, maji ya bomba pamoja na visima vya maji ya ziada, kuna nyumba mpya ya kuishi, kuna mabanda mazuri ya mifugo, miti ya matunda, ardhi nzuri kwa kilimo chochote, bei poa 0620570383
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Je umewahi kukumbana na kadhia kma uchafu, kunguni, Kelele,bei ghali ya vyumba, umbali mrefu kwenye vyumba vya kulala wageni (guest house)? OGAH room's inakuwezesha kufanya booking katika vyumba...
0 Reactions
1 Replies
723 Views
Naitwa Mr Johnson ni manager wa kampuni ya uuzaji na usambazaji wa maharage quality beans tunapatikana Arusha Tanzania week oder yako Sasa tuna kufikia Hadi ulipo karibuni sana
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wapendwa natafta soko la alizeti, nnagunia 100,hpa singida gunia elfu 50,kwa anaehitaj au anaweza niunganisha na mtu anitafte kwa no 0766089646 ,ANIPIGIE KWAKUA SIWEZ KUREPLY MESSEJ HUMU, BADO...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu, Tunasambaza miguu ya ng'ombe,mkia,na ulimi, kwa wafanyabiashara wa kuuza supu kwenye mahotel na kwenye mabaa,bei zetu ni miguu minne ya ng'ombe sh.18000 ulimi sh.6000...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Kwa mahitaji ya kufungiwa mfumo wa kisasa unao jiendesha wenyewe katika mfumo wa kidigitali katika kumwagilia,kudhibiti joto,mvuke na hewa katika nyumba za kuoteshea mazao. *Mfumo unawezesha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi wa Sua nauza miche ya mipera, miembe, michungwa , ndimu na kadhalika Nakusafirishia popote ulipo...gharama ni constant ila usafiri maelewano
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Kwa mahitaji ya wajasiliamali 1.Soda ash 2.Caustic soda 3.Sodium hypochlorite(jik) 4.rose perfume, lavanda, jasmin, lemon 5.Grycelin 6.Acetic acid 7.Acetone 9.Ethanol 10.Methanol 11.IPA...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu nauza ubuyu kilo moja 1500 kokote unaletwa piga simu 0674513388 na choya au arozera debe moja 20000, kilo moja 7000 piga simu nikuletee mahali ulipo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasiliana nasi kwa mahitaji ya fenicha na samani za majumbani 0692755311 au whatsapp 0718949610
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wapiga mziki, na watoto kusomea Haikai na chaji ila inapiga kazi vizuri sana Bei: 95,000/= Fixed
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Hello wanandugu wapendwa. Nahitaji mafuta ya Nazi ya kula .mwenye nayo tuwasiliane please.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Tafadhali, kwa wanaofahamu kuhusu soko la mafuta ya Nazi, zaituni na mawese, bei zake za jumla na reja reja, mahala pa kuuza hizi bidhaa na uhitaji wake katika soko. Shukrani!!
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Samsung A30 Ram 4GB na memory 64GB inauzwa imenunuliwa dukani tarehe 12 jun 19 Kuna mtua aliitaka nimtumie huko mkoani ila ana maelezo mengi sana. Simu ipo mbezi Luis hata kujaribu tu kuweka laini...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kuna mtu yeyote anayeuza vitenge humu? Halafu bei za hivi vitenge zikoje mana nimejaribu kuchungulia huki insta naona vinauzwa 35,000 ina mana hamna vya bei ya chin i ya hapo?? Na quality...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natafuta monitor ya desktop iwe flat na bei ya chini isizidi elfu 50 kwa yeyote aliyonanayo anicheki whasp 0765791233, au 0784791233
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom