MIZANI au SCALE inayotumika kupimia uzito wa madini ya dhahabu na silver na madini mengineyo.
* Inapima kuanzia uzito wa gram 1 mpaka kg 5.
* Mashine ni mpya kwenye waraka wake na inatumia betri...
Poleni kwa majukumu wakuu
Nimefungua akaunti NMB chapchap, nimeenda kwa wakala leo kuweka pesa wameniambia huweza kuweka pesa kwa namba ya simu na wakati wamenipa namba ya simu iwe kama akaunti...
Habari
Naprint tshirts zenye ujumbe wowote za ofisini, kikundi, birthday, msiba nakadhalika. Tshirts za Quality nzuri na Bei nzuri pia
Namba ya simu
0682-820202
Elizabeth
Asanteni
Nauza kiwanja kikubwa na kizuri kilichopo karibu kabisa na barabara ya mtaa.Kiwanja kina ukubwa wa nusu hekari.Kipo KIGAMBONI uvumba.Bei ni mil 35 na maelewano yapo.Kama umependa njoo 0786167143...
Nauza Eneo lenye nyumba mbili za kuishi..Eneo liko KIGAMBONI kisiwani .Nyumba zote zimeisha na zina watu wanaishi.Eneo lililojengwa nyumba lina ukubwa wa robo hekari.Bei ni mil 25 tu na maelewano...
Pc yangu imepata hitilafu.
Nikiiwasha inawaka kama kawaida.
Tatizo ni kwamba haioneshi mafail, inaonesha kasa na hii kasa inamove kama kawaida lakin haioneshi kitu kingne zaid ya mwanga tu.
Kwa...
Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapo taka kulipia kitu online mfano Nimeiona bidhaa AliExpress au Amazon kuilipia inakuwa ngumu kidogo ambapo inatakiwa niwe na VISA account. Lakini sasa baada...
Sasa Mkazi wa MWANZA unaweza pata dagaa toka ziwa Nyasa na KAHAWA safi toka wiliayani Mbinga - Ruvuma popote ulipo ndani ya jiji la MWANZA kuanzia sh.2000, 5000 nakuendelea with free deliverance...
Chumba master na sebule bei laki na nusu unalipia kwa miez mitatu(450000)
Tyres chin,madirisha alminium na parking ipo
Dalali ni Kodi ya mwez mmoja
Nicheck 0656 548919
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.