M-Pesa ni zaidi ya kuwa na akaunti ya benki

M-Pesa ni zaidi ya kuwa na akaunti ya benki

skilled masala

Senior Member
Joined
May 2, 2019
Posts
117
Reaction score
160
Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapo taka kulipia kitu online mfano Nimeiona bidhaa AliExpress au Amazon kuilipia inakuwa ngumu kidogo ambapo inatakiwa niwe na VISA account. Lakini sasa baada ya kuingundua hii M-pesa master card sipati tabu tena na sioni haja yeyote ya kuwa na account ya bank
Hasa pale unapokuwa unatumia m-pesa App unaweza kufanya miamala hata kama laini yako haiko hewani so hata kama ikatokea laini yangu imepotea hela yangu nabaki nayo.
 
sioni haja yeyote ya kuwa na account ya bank
For long term ,benki account haikwepeki, na kamwe huwezi kuilinganisha na virtual card na physical card utakayopewa benki baada ya kufungua account.

Kuhusu APP: Kila kitu unachofanya kwenye hiyo app, kumbuka na benki kwa sasa zina app zao, na ni bora zaidi, sababu ya options nyingi zaidi, kwa matumizi ya kibenki kiganjani kwako.
 
Hapo kwenye hata line ikipotea pesa unabaki nayo kiganjani naomba maelezo kidogo.
Mara nyingi line upotea pamoja na simu!!je,unamaanisha hata vikipotea vyote(simu na line) bado unaweza kutumia simu ya mtu mwingine na ukatoa pesa yako???
Nimekuwa nikipata tabu sana pindi ninapo taka kulipia kitu online mfano Nimeiona bidhaa AliExpress au Amazon kuilipia inakuwa ngumu kidogo ambapo inatakiwa niwe na VISA account. Lakini sasa baada ya kuingundua hii M-pesa master card sipati tabu tena na sioni haja yeyote ya kuwa na account ya bank
Hasa pale unapokuwa unatumia m-pesa App unaweza kufanya miamala hata kama laini yako haiko hewani so hata kama ikatokea laini yangu imepotea hela yangu nabaki nayo.
 
Maelezo kidogo hapo mkuu... njmevutiwa na hiyo huduma

Rejea
- https://www.jamiiforums.com/threads...roduce-first-online-card-in-tanzania.1480975/
- https://www.jamiiforums.com/threads/hatimaye-unaweza-kufanya-malipo-mtandaoni-kwa-m-pesa.1481765/
- https://www.jamiiforums.com/threads/vodacom-tz-mastercad.1481307/
 
Asante mkuu
 
Maelezo kidogo hapo mkuu... njmevutiwa na hiyo huduma

Kwa uchache ni kwamba, ukiwa na Mpesa, unaweza kufanya malipo kwa njia ya VISA. Vodacom na BankABC wameingia makubaliano kuwezesha Mpesa kufanya malipo online.

Inakuwezesha kutengeneza namba kama za kadi ya VISA, unamaliza muamala wako maisha yanaendelea.
 
Mpesa wako vizuri tatizo lao ni kwenye data na vifurushi
 
Mbona Saizi Master Card za CRDB jnalipia pia online hata bila kuisajili. Juzi nimejaribu kilipia usd 28 aliexpress ikakubali
 
Tangu nianze kutumia Payoneer Master Card, nimeondokana kabisa na maumivu ya USD Buying Rate!! Zamani ilikuwa maumivu sana; manake nilikuwa nalazimika kutoka kwenye USD to TZS (Hapa unalipwa pesa ndogo) halafu unaitoa tena kwenye TZS to USD (Hapa unachajiwa pesa kubwa)!

Anyway, hiyo ina-apply kwa wake wale wanaolipwa kwa fedha za kigeni online lakini kama mishe mishe zako zipo huku duniani na kulipwa kwa TZS, basi hayo maumivu ya USD Buying rates itabidi uendelee tu kuyavumilia lakini ni maumivu makali kweli kweli!
 
Mbona mambo ya kawaida haya .....wabongo mlikua gizan kias hcho
Hamna bhana, kama unataka kutumia card, kwa CRDB ilikuwa hadi ujaze mifomu na kufanya MasterCard Secure Code verification! Kinyume cha hapo, best option ni kui-link kadi kwenye PayPal! Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa natumia UBA! Hawa hawakuwa na huo ujinga; labda sijui kwavile walikuwa wanatumia VISA, sina uhakika!
 
5 yrs ago nlikua natumia mastercard(crdb) yangu kufanya app purchase
 
M-PESA ni the best ila vifurushi nyumbani kumenoga Voda ni wezi
Bado hawajafikia kuwa best hadi watakapokuwa connected directly na some online stores like Amazon et.al na kwenye freelancing platforms tuliko sie wengine! Wenzao SafariCom tayari wapo huko.
 
Back
Top Bottom