M-Pesa ni zaidi ya kuwa na akaunti ya benki

M-Pesa ni zaidi ya kuwa na akaunti ya benki

Tangu nianze kutumia Payoneer Master Card, nimeondokana kabisa na maumivu ya USD Buying Rate!! Zamani ilikuwa maumivu sana; manake nilikuwa nalazimika kutoka kwenye USD to TZS (Hapa unalipwa pesa ndogo) halafu unaitoa tena kwenye TZS to USD (Hapa unachajiwa pesa kubwa)!
Anyway, hiyo ina-apply kwa wake wale wanaolipwa kwa fedha za kigeni online lakini kama mishe mishe zako zipo huku duniani na kulipwa kwa TZS, basi hayo maumivu ya USD Buying rates itabidi uendelee tu kuyavumilia lakini ni maumivu makali kweli kweli!
Naomba maelezo ya kuipata hiyo Payoneer Master Card.
 
Naomba maelezo ya kuipata hiyo Payoneer Master Card.
I hope umezingatia maelezo yangu kwamba, hii ni bora zaidi kwa wale wanaopokea malipo online! Mathalani, kama unauza vitu online au unafanya kazi za online!! Anyway, kuipata una-apply tu kupitia website yao: Sign Up
 
Back
Top Bottom