Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

KAMA UKO DODOMA NA UNATAMANI KUUJUA UHASIBU PRACTICALLY, BASI HII ISIKUPITE. NI KUANZIA TAREHE MOJA JUNE 2019. NI PALE ST. JOHN UNIVERSITY TOWN CENTRE NDANI YA JIJI LA DODOMA (NI PALE MJINI KATI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajanvi nahitaji mahindi ya njano na mbaazi mwenye nayo hayo mazao tajwa hasa akiwa Dar itakuwa nzuri 0715912123 tuwasiliane tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf. Naomba msaada wa kitabu cha huyu mzee wetu mjasiriamali aliyefanikiwa Mzee Mengi.Ingawa hatupo nae ila mawazo na fikra zake zitaendelea kudumu vizazi na vizazi. Kama nitapata soft...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mafundi wa automobile electronics hapa dar, mafundi wanao Diagnose kwa kutumia computor alieisomea automobile electronics at least diploma kwenda juu na anauzoefu wa kazi yake...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Nauza camera Canon 650D kwa bei ya shilingi 850,000 tu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tunauza viatu aina zote Kwa bei nafuu sanaa Tsh.45,000/= With free DELIVERY in Dar. Call/whatsapp 0718712554
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Vijana ndio nguvu ya nchi na tegemeo kusukuma maendeleo ya nchi kuanzia ngazi ya familia. Taifa lenye vijana wacha Mungu kikamilifu litajengwa kwenye misingi bora na kuepuka maovu mengi...
1 Reactions
71 Replies
8K Views
Wakuu nahitaji mawasiliano au kuelekezwa mahali vilipo viwanda vya kutengeneza vyakula vya kwa mikoa ya dar na pwani. Kwa mwenye kujua tafadhali nijulishe au nitext kwa namba. 0626 646536...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Tunauza Persia cat | #Paka wa kizungu One of the most expensive breed of cat #Persian #persiancat #Persiancattz Kupata huduma wasiliana nasi kupitia simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Naitaji Set kubwa ya mziki ambayo inaweza kupiga kwenye uwanja wa watu zaidi ya 500
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaj display ya sumsung mwenyenayo tuwasiliane nipo itigi singida 0759296872
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Nauza vifaa vya salon ya kiume,vitiviwili vya kisasa,vioo viwili (vikubwa),kitanda cha kuoshea USO na kichwa pamoja na sink lake(plastic)sofa la watu 2 vi shelf vya kioo viwili vya kupachika...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Hususani kwa hapa Dar es salaam. Suti isizidi laki moja(100,000) bei lakini hata ikiwa elfu kumi(10,000) sio mbaya
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana Jukwaa. Ni matumaini yngu mu wazima wa afya, na kwa wale ambao tuko kwenye mfungo, basi Mungu aendelee kutufanyia wepesi tuwe na mfungo wenye kheri kabisa. Sasa leo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd kwa mara nyingine inakuletea Jukwaa la Fikra awamu ya nne ambapo tutaangazia na kujadili KILIMO na MAISHA YETU. Ni Tarehe 23, Mei 2019 katika Ukumbi wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Niko mbez ya kimara
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali yeyote anayeweza kupata mawasiliano ya wahudumu wa Makumbusho ya zama za mawe ya Isimila mkoani Iringa. Tafadhali Sana wadau. Nimehangaika sipati, hawanawebsite, wala blog.. yaani hadi...
0 Reactions
2 Replies
867 Views
SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD SOLD Model: Dell inspiron Series 3000 Processor: intel core i5@2.2Ghz Harddisk: 500Gb Ram: 4Gb Screen size: 15.6inch Dvd slot: Available Battery: 4hrs Runs on Windows...
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Compressor size tofauti tofauti zinauzwa. Ujazo wa litre 20 = 250,000 Litre 40 = 400,000 Zinapatikana Salasala, Mbezi beach. Kwa mawasiliano call or text +255788742190
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ambayo haijaaribika.nitatoa ela kidogo
3 Reactions
41 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…