Maisha ni kupanga, ukipanga vizuri ni lazima ufanikiwe..
Kama unahitaji pesa chap chap kuanzia laki 1 na kuendelea kwa ajili ya matibabu, biashara au Elimu karibu kampuni ya PLATINUM CREDIT LTD...
Umewahi fikiri ni jinsi gani unaweza pendezesha nyumba, ofisi, clubs, studios, mitaa na miji pia sehemu zinazokutanisha watu kama Airports, Ports, Car Hubs, Institutions na Train Stations?
Ni...
Wengi tunapenda kuvaa na kupendeza, hata hivyo wengi tungelipenda kuona mavazi yakituingizia kipato.
Kwa zaidi ya miaka minne sasa nimekuwa mbunifu katika mavazi kwa ajiri ya brands, musicians...
habari,
Nipo mbeya mjini natafuta godoro, budget kuingana na ukubwa na hali ya godoro...
simu smartphone budget simu ni 100,000 isiwe tecno...
contact- hapa hapa weka namba yako ya sim na...
Yalin global limited inapenda kkukaribisha kunufaika na flat screen TV HD kwa Bei ya 260000 .Tunapatikana tabata matumbi dar es salaam,kwa mawasiliano zaidi tupigie kwa namba 0672087564 au...
Habari wakuu nilikuwa natafuta gari kati ya hizi zifuatazo ist, passo, sienta, porte au aina nyengine yenye engine ndogo isiyozidi cc1400> hesabu ni kwa wiki. napatikana tabata nicheki kupitia no...
Habari wakuu nilikuwa natafuta gari kati ya hizi zifuatazo ist, passo, sienta, porte au aina nyengine yenye engine ndogo isiyozidi cc1400> hesabu ni kwa wiki. napatikana tabata nicheki kupitia no...
Habari wakuu,
Kampuni yangu inajihusisha na solutions za kuimprove safe and transparent fuel utilization.
Systems tuna-install kwenye mobile na stationary tanks. Hivyo wamiliki wa heavy vehicles...
Kwa majina naitwa Kennedy Charles ni mtaalam wa wanyama hasa kuku,napenda kuwa taarifu wafugaji wa kuku wakubwa na wadogo kwamba uzalishaji utokanao na kuku unazingatia jinsi ya banda lako ulivyo...
Habari great thinkers, ningependa kujua kwa hapa Tanzania wanapouzwa samaki aina ya salmon
Lakini pia ningependa kujua wapi wanauza mafuta ya samaki aina ya salmon
Natanguliza shukrani
Sent...
Aweanaishi Arusha mjin atafanya kazi chin ya kampuni na atalipwa kwa week
Uwe chini ya miaka 33
Wadada wataendesha mjin leseni ikiwa ya biashara itapendeza zaid ila kikubwa uwezo kwenye driving...
Kama kichwa cha habari kilivyo,tulisoma kwenye vyombo vya habari kuhusu usafiri mpya taxi ya little,lakini ukienda play store,unakuta ipo App ya little,lakini ukiidownload inakuja namba za Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.