Used HP revolve 810
inatumia keyboard pamoja na touch screen
display yake inazunguka na kulala ili kutumika kama tablet
imetumika miezi 4
processor core i5, 2.5 Ghz
RAM 4 Gb
hard disk 250
eneo...
MAHALI: MSIGANI-MADALE, DAR ES SALAAM
KM 6 KUTOKA TEGETA KIBAONI
BEI 30M
Contact 0686621567 mwenye Site (KAKA SAI) kwa mnunuzi tu mwenye nia
KUNA FRAME TATU ZA BIASHARA
SITE INA
vyumba vitatu...
Salaam,
kiwanja kinapatikana goba mbele kidogo ya saisai (mtaa wa tegeta A) kipo upande wa kulia kama unaelekea mbezi mwisho (Louis) umbali kutoka barabara ya lami ni meter 600 ukubwa wa kiwanja...
Habari wakubwa! Kwa wale wanaohitaji mayai ya kuku wa kisasa yanapatikana kwangu kwa bei nafuu kabisa na nitakufikishia mayai utakayoagiza mahali ulipo ndani ya DSM!
Bei - Tsh.7500 kwa tray moja...
Kuna sehem ambayo wanatoa mikopo ambayo haina masharti na vigezo sana.
Labda waombe tu kitambulisho na taarifa zangu.
Yaani kama mtu anataka kuanzisha biashara?
Nahitaji 1Mil.
Sent using Jamii...
Ipo makao makuu ya wilaya ya mvomero
barabara ya Morogoro -dodoma kama mita 800 hivi toka makao makuu ya wilaya na hospital ya wilaya
Pia iko jiran kabisa na lilipo eneo la stand ya wilaya na...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu natafuta line ya airtel money iliyo kazini na ww ndo uwe mmiliki kama hauifanyii biashara kwa sasa na naomba iwe na document zote halali za umiliki wake...
Kiwanja kina ukubwa wa 22×20 kipo Kibamba Hospital mtaa wa Mloganzila(Mji Mpya).Bei yake ni 5.5M.Maji ya Dawasco yapo karibu na yanatoka 24/7 na umeme ni wa kuvuta kwenye nguzo, pia kuna umbali wa...
Nauza Maziwa fresh 1900 kwa Lita.
Delivery service ni bure ukichukua kuanzia Lita 5
Kuanzia Lita 4 kushuka chini usafiri utalipia wewe nakuletea popote pale ndani ya dar.
Napokea oda za...
Kiwanja kipo morogoro eneo la Lukobe kina ukubwa wa 979 mita za mraba. Na kimepimwa. Kiwanja namba 166 block 8 kinafaa kwa makazi au Biashara bei ni m 6 tu hakuna maongezi 0652260304
DRIP IRRIGATION SYSTEM &GREENHOUSE (KWA GHARAMA NDOGO )
Hii ni njia ya kumwagilia mmea kwa kutumia tone(matone) la maji kwa muda husika, ambapo bomba dogo huundwa kwa kuwekewa matundu madogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.