Hello wana jf habarini ya majukumu.... Samahan jaman mim nina matatzo ambayo nimeende hospital imeshindikana pia nikajaribu kwenda kwa wachungaji pia ndo inazidi.... Sasa naomba mnisaidie kwa...
Habari
Kuna Uncle wangu anauza pumba kavu za mahindi. Yupo Gongo la Mboto. Ziko gunia 150 anauza gunia elfu 19500. Karibu PM nikuunganishe nae.
You are strong than what you think...
Husika na mada tajwa hapo juu.
Ninataka kufungua stationery nomba kama kuna mwanajukwa yeyote anaeuza vifaa vifuatavyo tuwasiliane
1. Photocopier Machine Mpya sio used
2. Printer epson inayotumia...
Habari za muda huu wakuu wenzangu,
Poleni na hongereni kwa majukumu,
Nilikuwa na shida na sehemu ya kufanyia biashara ya chakula(jiko) kwa maeneo ya Dar, kwa yeyote mwenye kujua mahali pazuri...
habari wadau,
mimi ninamiliki dikoda ya startimes (antena) inayoshika local zote bila malipo kama TBC1, ITV, STAR TV ,CLOUDS TV, ETV, EATV,CHANNEL 10, DIRA TV, SAFARI TV, UPENDO NA LIVING WATER...
Habari wana jf, karibuni mjipatie flat tv aina ya starx- led inch 32 kwa bei ya shilingi laki 400,000. Mikoani tunatuma, dar es salaam tunakuletea ulipo AU NJO OFISINI KWETU KARIAKOO MTAA WA AGREY...
Mimi mkulima nina trekta niko wilaya ya Kilombero kijiji cha Miwangani , mshirika atatoa pesa ya kukodi shamba tuanze na ekari 10 wakati wa Kiangazi sehemu za mabonde kuna maji yanaivisha mpunga...
Nauza Softwears hizi zikiwa full version na kufanya kazi kwa kila controller kwa 100% Kwa MAC/WINDOWS pia unaweza kurecord mixing zako MP4 HD 1080(Full HD) pia unapata na skin 3D Kama...
Chumba Sebule na Choo ndani.
Tiles, gypsum, Maji ya dawasco, ndani ya fensi & Umeme Luku.
Tshs 150,000/Mwezi, Miezi 6 inatakiwa.
0675107182
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu
•natafuta HP360 ambayo ni used(new) in a good condition..
BEI:iwe affordable
MAHALI : DSM
Aliye serious njoo inbox tuyajenge..nashukuru
Sent from my iPhone using JamiiForums
Shamba Heka 50 Linauzwa Kibiti Bei Chee (TZS 70,000/Heka).
Shamba linauzwa Kibiti heka 50,
Halijawahi kulimwa hivyo ni la kusafisha,
Heka 10 urefu X heka 5 upana,
Liko kilometa 20 kutoka kibiti...
Kuna magonjwa ya hernia ya aina nyingi kama zile ziitwazo kitaalamu inguinal, umbilical, femoral, epigastric, incisional, inguinal hernia na diaphragmatic hernia.
Lakini watu wengi hukumbwa...
Habar,
Je wapi naweza kupata simu za zaman zamani kama Nokia 6300, Exp 3300 nk,
Blackberry na Motorola za miaka ya 2000's.
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.