Habarini nfugu zangu wana JF.Naomba sapoti yako ikiwa ni mdau mhimu sana katika jamvi hili. Ni kitambo saaa nimetumia kufikilia kuhusu zao hili LA miti ya kupandwa ( paini na mlingoti)...
Kutokana na shida zangu binafsi nimeamua kuuza kituo cha mafuta maeneo ya Mlandizi,eneo lina hati kabisa.
Mijengo iliyopo ni ya kumalizia na pampu za mafuta ziko stoo ukizihitaji tutaongea...
Tunahusika na uzalishaji, ufugaji, ufundishaji na uuzaji wa mbwa waliosajiliwa na wenye viwango vya juu kwa ajili ya ulinzi binafsi, majumbani na maeneo mengine. Tunafundisha na kumfanya mbwa kuwa...
wakuu
naomba msaada wenu niweze kupata chumba kimoja cha kupanga kwa maeneo ya pugu, kajiungeni mpaka kufika maeneo kigogo fresh
iko chumba kiwe na sifa zifuatazo
1. gypsum na ukuta uliopigwa...
Je' unahitaji kununua gari kutoka nje? Sisi IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS, ofisi yetu Kimara mwisho..dsm. Tutakuagizia gari yako hadi kukukabidhi mkononi mwako.
Uaminifu na Uwazi katika mchakato...
Ipo mbagala (majimatitu)
~Ina vyumba vinne(4) na kimoja(1) ni master bedroom.
~Jiko+store
~Sitting room
~Dinning
~Tiles nyumba nzima
~Alminium windows nyumba nzima
~Kisima cha maji+umeme
~Fensi...
Natafuta sehemu wanayouza mashine za kutotolesha mayai mbeya mjini ziwe ni automatic incubator mayai 48-360
Umeme kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Suluhisho la ujenzi linapatikana hapa, jenga kwa bei nafuu kabisa, mzigo unaletewa hadi site kwa bei ileile kwa wateja waliopo Dsm na Pwani. Mikoa mingine tunasupply in bulk.
Karibu ujenge kwa...
Dawa za Chooni zenye kuua wadudu na Kung'arisha Choo na zina Harufu Nzuri sana kwa Gharama nafuu ya Tsh 8,000/=
Tunakuletea mpaka Nyumbani.Tsh 8,000
#UsichukuliePoaNyumbaNiChoo
Tupigie...
Hii ni update kutoka
"Nilivyowekeza Laki Moja Hadi Kuanza Kutengeneza Milioni Moja Kila Siku 3"
PDF hii ina cover topic zifuatazo
CHAPTER 1 : Kupata kadi na account za kufanya manunuzi...
Kwa anayetaka ofa ya punguzo bei la bei ya kuagiza gari, hapa ndo mahala pake, ukiweza mwambie na mwenzio, usiwe mchoyo tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mahitaji ya Asali safi yenye ubora unaohakikiwa mbele ya mteja inapatikana. Tunauza kwa jumla, ndoo ya kilo 30(Lita 20) Tsh. 120, 000/=, kwa anayehitaji ani pm. Tunakuhakikishia ubora...
Ndugu zangu nakuja dodoma kwa kipindi cha miezi 3. Nahitaji chumba angalau nipunguze gharama za maisha.
Budget yangu ni laki moja (100k) kwa mwez.
Sifa za chumba nachohitaji
- Choo cha ndani...
dark underarms or between your thighs due to fiction or bikini area due to shaving? Buy a milk and salt scrub and fade it away for TSH 25,000/= +254718205530,kwa wahitaji wa tanzania unaweza kuniPM