Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndugu zangu wapi katika jiji la Mbeya naweza kupata shamba au kiwanja. Nina mil. 3. Nataka kulima na kujenga na pia kufuga. Viwanja vya bei poa.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Ni muhimu kufahamu kwamba, mchakato wa uandaaji wa andiko kwa ajili ya zabuni una ushindani mkubwa. Uwasilishaji wa andiko huanza kufanyika baada ya mteja kutoa wito wa uwasilishaji wake yaani...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Bila kupoteza mda, member mwenzenu nahitaji namba nitakayoweza kuwapigia Airtel na kuongea moja kwa moja na costumer care.. Sitahitaji namba ambayo ukipiga unaanza kupewa maelezo meeeengi, mwisho...
0 Reactions
2 Replies
744 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu...natafuta chumba na sebule na choo ndani...maeneo ya kimara mwisho bonyokwa vyumba vinane, Mbagala rangi tatu au mbagala zakhem. Na maeneo yanayozungukq...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unangoja nni kupima afya yako. jiunge nasi uwe mwanachama wa ETERNAL INTERNATIONAL kama utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga Utafaidika na mambo mengi ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Mpyaa Changombe tmk Tsh .350k Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Kama kichwa kinavosema ila kwa bahati mbaya kabisa sina PICHA ya tangazo langu ila kwa mwenye uhitaji kuna masofa Mawili mazuri na Mapyaaa..Narudia tena na Tena sijaweka picha sababu nina uhakika...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Graphics card nzuri kwa gaming kwa laki 4 na nusu bei inaongeleka 0763343664
0 Reactions
1 Replies
982 Views
IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS ***************************************** Import your favourite car with us. (Agiza gari uitakayo kupitia kwetu): Tunauwezo NA uzoefu wa kukuagizia Gari yako kutoka kwa...
0 Reactions
0 Replies
727 Views
unangoja nni kupima afya yako. jiunge nasi uwe mwanachama wa eternal international kama utapenda maana hailazimishwi ila ukijiunga utafaidika na mambo mengi ikiwemo kufanya biashara na kujikwamua...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunahitaji Mtaalamu wa mizani (weighbridge) kwa ajili ya kufanya settings, kwny mzani wa kampuni pamoja na kusajili kwa wakala wa vipimo. Mahali Ni Dar es Salaam. Contact-0714010511. 0764931111
0 Reactions
4 Replies
1K Views
DELL E 6500 HDD 320 GB Ram:2 GB Sp. 2.4 Ghz With its Bag Tsh:250,000
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Ofisi ziko kwenye nyumba moja...kila chumba ni Tsh 200,000/- kwa mwezi...Imezungushiwa ukuta, ina ukumbi mdogo wa mikutano wa watu 12 (Conference room), Mapokezi (shared reception), Jiko, Parking...
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Location: Kunduchi Spec: Vyumba viwili kimoja master #Sebule #Jiko #Store #public toilet #ndani ya geti # maji ndani # jakuzi # Price: 400,000 #contact: 0769272733 Term of payement: 3 months...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Bajaj namba B inauzwa. Iko vizuri sana upande wa engine. Body yake haijachakaa sana. Bei ni Tshs. 3,500,000. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane 0684910695 au 0659426390 (Whatsapp) Karibuni Sent...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza, natafuta power ya hiyo CPU, njoo na offer yako, iwe ya bei ndogo, napatikana Singida, whatsapp only 0712433059 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, kama Tangazo linavyojieleza ninahitaji kununua aina hiyo ya fridge kwa matumizi yangu binafs, nakaribisha yoyote mwenye nalo kwa mazungumzo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza simu aina ya Sumsung Grand prime plus bei ni laki mbili (200,000/=), simu ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote nimeitumia kwa mda wa miezi saba, Naiuza baada ya kupewa simu nyingine...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkazi wa MWANZA sasa unapata Dagaa toka ziwa Nyasa na KAHAWA safi toka wilayani Mbinga - Ruvuma popote ulipo. Bei ni kuanzia sh.2000, 5000 na kuendelea Contact 0688839435. Karibuni. Sent using...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari? Nataka gari ya kubebea mizigo ya shamba, kama mbolea , magunia ya mahindi nk kwa bajeti isiyozidi 20M . Naweza kupata gari gani? Napatikana Tunduma , songwe. Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom