Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu kiwanja kinauzwa cha ukubwa wa mita 25 kwa 25,kiwanja kipo flati na kimezungushiwa nusu ukuta kipo mtoni kijichi(daresalaam) kama unaelekea mbagara kuu bei ni nafuu..kwa alie...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wana JF: Mwenye nyumba natafuta nyumba ya Kupanga. Kwa mwenye taarifa anijuze. Iwe na vyumba viwili na jiko yaani chumba na sebule na jiko, bafu na choo iwe na maji na umeme. Tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa maeneo ya kinondoni B mtaa wa kanazi kwa shilingi za kitanzania mil.180
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aina zaidi ya kumi tupo airport maeneo ya jet
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa safari waliokuwa wakiumiana kuhuzunika kwa kukaa sana pale airport nairobi na mi nikiwa mmoja wao nimeona mwanga ..wiki iliopita nilipata rafiki kanionyesha ndege ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wasalaam Natafuta Alteza CC.2000 Registration No; C au D Rangi=Silver Bajeti yangu ni 7,000,000
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Umofia Kwenu, Wadau nina kilo 500 za Mihogo huku maeneo ya minjingu,bei ni laki na nusu kwa kilo moja,kama upo vizuri ni PM tufanye biashara,Kama unataka uletewe hadi dsm basi kilo moja ni 2mils.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Samsung galaxy s2 nyeupe inauzwa tsh 220,000 imetumika mwezi mmoja. Contact 0716880022
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa unaweza kupata mafuta ya queen elizabeth kwa bei ya 35000 tu tumia queen elizabeth original ikupe siri ya urembo na utanashati faida zake: -mafuta haya hayachubui -hurainisha ngozi na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naitaji kwa hapa dar duka la vocha za jumla la bei za chini sana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja hiki kimepimwa na kina hati ya kutoka ardhi,kiko nyuma ya uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere eneo liitwalo Mwanagati, huduma zote za maji na umeme vipo jirani, barabara ipo na...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Wana jf. Nahitaji tecno p5 kwa bajeti hiyo. Nipo dar
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajukwaa za jioni: Mwenzenu natafuta chumba cha kupanga self contained maeneo ya Chang'ombe karibia na DUCE uwanja wa Taifa. Kuwe na maji ya uhakika na kodi kwa mwezi isizidi 150,000/= Tshs...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni aina ya tcl inchi 18, inasoma xternal hard disc,flash imetumika miez mitatu,sababu ya kuuza nahamia kwangu kiluvya sina umeme bei laki 1 na 90, nliinunua lak 2 na nusu. PIGA 0755914977
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta Nyumba (chumba,sebule, choo na Jiko) Tzs 150 Per Month maeneo yafuatayo: Kinondoni, Kijitonyama, Mwenge, Sinza au Magomeni. Call: 0715490570
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Salaam wadau, Tunatafuta kampuni inayoweza kutukodishia mashine ya kuchimba barabara eneo lenye mwamba (kwenye mwinuko) na specifically tunahitaji mashine aina ya "Excavator". Kampuni hii iwe ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Karibu mkuranga kwa maitaji ya maeneo ya ujenzi wa shule,sheli za mafuta(petrol station),nyumba za kupanga,nyumba za wageni(guest house),maeneo ya ufugaji na kilimo,bei ni nafuu sana. Ni pm,au...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kabati la nguo size ''5X6'' la mbao ngumu, bei yake ni shilingi 350,000/=. Jionee mwenyewe kwenye picha Wasiliana na mimi kupitia 0714078881 au 0782078881.
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Huawei y530 inauzwa , bei 235000 tu! Ipo katika hali nzuri ... Anaetaka aniPm tufanye biashara
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapi nitapata wauzaji wa belo za mtumba kwa hapa dar?msaada kwenu jaman mwenye kujua anielekeze au anipe mawasiliano yao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom