Habarini wana jf!!
Kama kichwa cha habari hapo juu.Nimepata bahati ya kutembelea hiki chuo japo kwa bahati mbaya sikuwa na kamera.Hawa jamaa wanatoa Certificates na Diploma.Yaani certificate ya...
Ninauza nyumba yangu binafsi, ipo jijini Mwanza eneo la Luchelele si mbali na ziwani. Inavyumba 3, viwili vikiwa ni self, sitting room, kitchen na public toilet. Imejengwa kwa mpangilio wa ramani...
Kwa wale wapenzi wa it tools wazee wa kwenda na wakati na ulimwengu huu wa kidijitali, ninauza tablet yangu nliyoitumia kwa mwez mmoja tu tangu niinunue dukani.
Tablet ni aina ya evoq...
habar wana jf
naitaji simu aina ya tecno m3 iwe ktk hali nzuri
ofa yangu elfu 60,000/=cash
kama unayo unaweza nichek kwa no. 0787 152 296 au ni PM
tufanye biashara faster
napatikana dar.
Wadau wote wa jf naombeni msaada natafuta tairi kwa ajili ya gari land cruiser hd 100
saizi ya tairi 275/65/r18 aina ninayopenda ni
bridge stone japan au aina nyingine yoyote. Mwenye kujua...
Wakuu nimepata kagari kengine naona haka nikauze. Ni toyota fielder ya 2003. Engine capacity ni CC 1490. full time 4WD. kako vizuri sana. nakauza kwa vile bado nimepanga kwa hiyo kua navyo viwili...
Nahitaji kiwanja kama kichwa cha habari usiki. Maeneo ya Chamarambe,chamazi, mwisho Adam complex please. Bei ahhh from 3m please inaongezeka kama kitakizi matakwa.inbox me please hama niachie...
Wakuu,
Yeyote anayejua tafadhali naomba anijuze. natafuta mabanzi kwa ajili ya kujengea mabanda ya mifugo shambani kwangu. Tafadhali suppliers mniambie yapo wapi na mtaniuzia bei gani kwa kila...
I'm looking for a fan and keyboard replacement for my hp pavilion 15 laptop. This is a Tech & gadget forum, so I hope I will get an immediate response than in other forums. Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.