Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

natafuta gati aina rav 4...nataka kukunua...link mi 0713409381
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Chumba na SEBULE vinapangishwa,Vipo eneo la Misufini jirani na hospitali ya St MAry.contact no.0712852454-Chepe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga chalinze chumba sebule na choo kiwe ndani na umeme na maji viwepo.. budget laki moja 0785347080
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Weight: 2.44kg memory: 8GB memory typ: DDR3 screen memory: 2GB screen size: 15.6 screen resolution: 1366*768 screen feature: HD bright view LED graph type: NVIDIA Getforce 840M processor...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa anayehitaji ni pm. Bei: Tsh. 50,000/=
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jipatie s3 mpya kabisa kwenye boksi na accessories zote...kwa 400,000 tu....piga 0713409381
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Unaweza kuni pm bei ni sh 350,000/- tu.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
budget 70 npo moro
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Kiwanja kinauzwa olasiti hatua chache kutoka eneo la kanisa lililolipuliwa na pia ni karibu na wazungu wanaofuga farasi ukubwa ni 20 kwa 25 bei ni m 16 na maelewano yapo kwa mawasiliano zaidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Electronic learning: Je wewe ni mwalimu! Na unataka notes zilizoandaliwa na walimu waliobobea? Je wewe ni mfanyakazi na unataka kujisomea? Je wewe ni mkaguzi wa sekondari unataka kujua mwenendo...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Wana JF asasi isiyo ya kiserikali ambayo inaitwa HIGH LIFE SOCIAL WORKS ORGANIZATION(HILSWO) iliyopo wilaya ya Ruangwa vijijini ambayo inajishughulisha na uhamasishaji wa usimamizi wa mazingira...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Ninaihitaji haraka nyumba ya kupanga ya vyumba 3 vya kulala, kimoja kati yao kiwe master, iwe katika manispaa ya Singida. Mwenye nyumba tafadhali wasiliana nami kwa 0752456024.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wanajamii (hasa wanafunzi au wazazi wa wanafunzi ) Napenda kuwatangazia wanafunzi wote , kuna offer ya manunuzi laptop zinatolewa na Kampuni ya EVE technologies unaweza kuandika oda yako...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kiwanja cha ukubwa wa mita 22 x 40 kipo kipo mbweni bei ni 12m maelewano yapo,kuwa huru.piga 0717567879 au pm.unsurveyed(hakijapimwa)
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajamvi kuna laptop aina ya samsung yenye RAM 2GB HARD DISC 500 MB rafika yangu anauza amewamba yuko DAR ES SALAAM contact 0756614571
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Gari liko kwenye hali nzuri sana. Engine: TA-NZE Mileage 57,000km CD/mini CD, funguo mbili za remote na lether seat cover limesajiliwa NR CZS mwezi wa nane bei ni 10,5mil contact: 0783 487239
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Inahitajika nyumba vyumba 2 na sebule isiwe mbali kutoka stand ya daladala weka bei kabisa
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Pata Sato/sangara direct from Mwanza kwa bei nafuu jumla na rejareja .press your order now and ll deliver at ur door.call 0658 308 754 kwa Morogoro na Dar es Salaam 0653 441636
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Toyota Passo linauzwa, IPO kwenye condition nzuri Year of manufacturing 2005 Engine capacity 1290 cc Mileage 50,000 km Contact only for serious buyer 0654122511 WhatsApp or any kind msg mode
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…