Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nazalisha miche ya pilipili mbuzi hoho na aina nyinine ya pilipili kwa oda miche ni ya mbegu bora kabisa.Pia ukihitaji miche ya nyanya naweza pia kuzalisha.Kama unahitaji piga 0754583634
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni water proof ni mpya na kila kitu chake nipo dar,nicheki kwa 0765050591 bei 520000
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ramani za nyumba za kawaida na maghorofa: Ramani za nyumba za kawaida sasa ni 250,000- 300,000.....kama inakuwa na mabanda ya nyuma(servant quarter) inakuwa ni sh 35000 Ramani za ghorofa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Natafuta jiko kwa ajili ya kuweka nyama choma kama lipo ubungo ,au mbezi itakuwa safi. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bm Impex, iliopo Dar es salaam katika msimu huu wa korosho tunanunua korosho kwa bei itayomnufaisha mkulima. Kwa kila kilo moja tunanua kwa shilingi 1500, (ni zaidi ya asilimia 50 ya bei...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu.. kama heading inavyojieleza kuna samsung galaxy s advance yenye rangi nyeusi ina uzwa kwa bei poa ya maelewano. Ipo kwenye hali nzur na accessories zake. Kama upo tayar ni pm...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nitaipataje hii mashine ya kutengeneza mifuko ya karatasi ya kuwekea vitu. Pia nahitaji kujua bei yake na namna ya kuiendesha. Nina ishu zangu zinaitaji sn vifungashio ila hii ya mtaani...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
Habari za muda huu wakuu. Nna bajeti ya 300000 laki tatu nahitaji Samsung Galaxy S4 sio Clone isiwe imechoka sana wakubwa. Mchana mwema. PM tu kama unayo.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nahitaji pikipiki Boxer used ninunue fasta. Iwe nyekundu japo nyeusi sio mbaya. Iwe imutumika si zaidi ya miezi mi4. Offer 1.5. Mwenye nayo anitaarifu fasta naihitaji kabla ya alhamisi nisafiri nayo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani natafuta laptop nzuri kwa bei nzuri na uwezo mzuri, hata kama ni used, naomba tuwasiliane
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu,nipo chuo kimoja hapa nchini.sasa nataka wakala nitakayechukua computer kwake nije kuuza hapa chuo.wateja tayari ninao,if upo interested nichek pm tuzungumze
1 Reactions
0 Replies
868 Views
Nyumba ina vyumba 7, na stoo, ipo kibaha picha ya ndege,bei ni 20ml na maongezi yapo, MAWASILIANO: 0686958013 0687477625
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana jf kuna nyumba inauzwa jijini dar mitaa ya makonde mbezi kwa atakae hitaji au ana muhitaji tuwasiriane kwa 0766255499
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Rejareja: 8 gb ni 13,000 4gb ni 9,500..piga no 0658663325 . Wanaohitaj kwa jumla piga simu .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa hapo juu kinavyojieleza...nahitaji simu yenye uwezo wa ku support whatsup. ..bajeti ni Sh.70. Iwe katika hali nzuri. My number 0689 309 344 au unaweza ukani pm
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Nawakaribisha wote walio tayair ku-generate an extra cash 3millions for only 3 months mbali na shughuli zao za kila siku kupitia an amazing part time opportunity. If you want to get things you...
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Tupo Toangoma kuelekea kigamboni karibu na kituo kipya cha Oil com utaona bango letu.Ndanda aluminium .0719744806.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
nyumba yenye vyumba 5 inauzwa,iko tabata mawenzi ipo kwenye mazingira mazuri,miundombinu kama maji,barabara na umeme vyote viko poa bei ni shilingi milioni 50 mazungumzo yapo. #0714358610
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wandungu zanguni naomba msaada wa kuelekezwa hapa Dar es salaam mahala ambapo naweza pata kununua viti vya nyuma, Carrier, ngao ya mbele na nyuma vya Toyota Noah, natanguliza asante!
1 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba mpya yenye vyumba 3 vya kulala,kimoja master,jiko,sebure,choo cha public inauzwa iko tabata segerea bei ni shilingi milioni 80 mazungumzo yapo #0714358610
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom