Wakuu kazi nilizozitangaza kwa vijana wasiokuwa na elimu kubwa imeanza baada ya kumchukua kijana kutoka kijijini, sasa naomba mwenye ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku wa nyama na mayai aniPM...
BM Impex, wananunua mbaazi kwa bei inayomnufaisha mkulima.
Uza mbaazi zako DSM kutoka mkoani kwa bei zifwatazo.
Mbaazi za Arusha sh. 1000@kg.
Mbaazi za Mtwara sh.900@kg.
Wasiliana moja...
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is going on at Raha Tower DSM City Center 2nd Floor. opposite Makataba Kuu ya Taifa..
We are still inviting those who are interested...
Hellow guys, kama wewe ni mtengenezaji mzuri wa music yaani (PRODUCER), wa nyimbo za GOSPEL TUU,na unahitaji au unatafuta sehemu/stodio ya kufanya kazi zako. NAOMBA TUWASILIANE HAPA kwa kupitia (PM)
Wana ukumbi habari zenu,
Natumai muwazima, kama heading hapo juu ilivyo, kwa wale ndugu wanaohitaji visa za UAE au Dubai basi waweza kupata popote pale ulipo,
1,Visa ya siku 14
2, Visa ya siku...
Wadau,
Kuna zile nguzo za kujengea za duara, za bati (au niseme chuma).
Kuna mtu anajua zinapatikana wapi kwa ajili ya kukodisha?
Huwa wanakodisha kwa kiasi gan kwa siku?
Nipo Dar, maeneo ya...
iwe na vyumba viwili vya kulala...sebure na jiko. Iwe maeneo ya kawe, Mbezi Beach au Salasala. Bajeti shs 400,000 kwa mwezi. Tuwasiliane kupitia 0784225000.
Macbook white ya mwaka 2008, ina ram ya 3gb, hdd180, proc 2.1, ina window 8 na mac os 10.7.5.
Used bt in good condition. Price 550000 tsh, my cont. 0769038065
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.