Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji chumba maeneo ya ubungo kiwe self budget 50,000/=
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Beach Plot inauzwa Mapinga, Bagamoyo. Zipo eka 8 na Bei ni maelewano, na sio lazima ununue eka zote. Kwa yeyote anayetaka awasiliane nami katika email [email protected] Au simu namba 0788 002 001
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani leo ijumaa TGIF :hail: Nauza galaxy pocket yangu, ndani yake sasa, kuna audio books za kutosha kama: 1. 21 Ways To Meet And Marry The Woman Of Your Dreams - Brian Tracy 2. The Art of War...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Nyumba kubwa inauzwa,eneo la salasala mwisho wa lami kwa wagogo,ina vyumba vitatu vya kulala,sitting room,dining na choo cha ndani,ipo kwenye eneo la ukubwa wa nusu heka.atakayefika bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
​​ninauza kiwanja changu kipo kinyerezi karibia na kifuru, ni mwendo wa dakika kumi kwa usafiri, ukubwa wa kiwanja ni mita 20 kwa 20, kipo kwenye sehemu nzuri barabarani, bei ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninaflash na kutoa sim lock kwa bei rahisi sana,mfano iphone zote unlocking kwa njia ya software ni elfu 30 tu....official ama kwa kutumia imei itategemea na carrier aliyeilock simu yako,huawei...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
namba yangu 0716628257 aliye nayo tuwasidiane
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Inauzwa LG P 970 black pamoja na memory card 4gb. Ni nzima kabisa haina tatizo lolote. Bei Tsh 250,000 0762228220 Dar es Salaam.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kitunda au karibu na maeneo hayo bajrti yangu ni 3M, Mwenye nacho au mwenye kumfahamu mwenye nacho tafadhari naomba ani-pm no yake
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau natafuta frem la kuuzia chipsi eneo lolote zuri kwa dar, kama buguruni n.k, kodi isizidi laki moja kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Ina miezi mitano Tangu inunuliwe. Ilikuwa inatumika kama bodaboda BAGAMOYO mjini. Mazungumzo yapo, Bei inaweza kupungua. No T ... CVN, RANGI nyeusi Bei ni 1.6 No simu 0713191101. Wahttsup...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
processor type:Intel Duo Core, speed: 3.3GHZ,RAM 2GB,Harddisk 250GB ,bei 280,000.. call 0767589301.
0 Reactions
1 Replies
925 Views
kwa anaehitaji eneo kubwa upana ni hatua 35 na urefu ni hatua 48.Bei ni milioni kumi.Kwa aliye siriaz tuwasiliane,hamna dalali.0683097293.Umeme na barabara vipo,umbali kutoka morogoro road ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iwe nzuri na latest, haijatumika sana pia. Budget 250K Call- 0714486466
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina nyumba iko wilaya ya Mhunze mkoa wa Shinyanga ni full suit udongo ina dirisha moja vyumba viko 12.Haina maji wala umeme,kuna hewa safi.bei milioni 40.Choo ni cha nje kipo mita 50 toka kwenye...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1998 Toyota Avensis linauzwa. Gari linatembea na liko kwenye hali nzuri. Ni manual transmission.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salam JF, kwa wale wahitaji wa vifaa bora kabisa vya umeme kwa ajili ya wiring ya nyumba zao mjini Arusha. Mf: hitter, pasi or philips, Extation cable kampuni za lipper, tronic na fitilite...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari wadau kuna fursa napenda ni share na wenzangu ambao wana stationary na wanafunzi wa chuo ambao kwa mtaji mdogo usio zidi laki 1 wanaweza kupata hela ya kujikimu na ugumu wa maisha wakiwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nataraji kufungua hair saloon kwa ajili ya wanaume. Nahitaji kinyozi anaeweza kufanya kazi mwenyewe bila usimamizi. Mshahara maelewano piga simu 0712288269
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Laptop toshiba hdd 500, 4gb ram,dvdrw, webcam, doss inch 15. laki 650 na dell hdd 160, ram 2gb, webcam, wifi, bluetooth kwa laki 350.. zote.mpya 0716154531
0 Reactions
0 Replies
682 Views
Back
Top Bottom