Habarizenu wadau
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nafanya installationi ya Quickbooks Point of Sale 9.0 hii ni software yenye uwezo kufanya management ya stock/inventory za biashara yoyote...
Supergrow ni mbolea bora kabisa inayotumika kukuzia na kupandia mmea
inarutubisha ardhi.
mazao mara mbili na huongeza wa mazao na uzito.
Hupunguza Gharama za kilimo.
Haina mathara yeyote na ni...
Habari wanajf poleni na majukumu kuna kiwanja kipo ununio miguu 35x35 kinatizamana na barabara ya lami ya ununio mil 25 hakijapimwa ni mzee anaeneo kubwa so amekata kiko kipande ili atatue shida...
WanaJF niko Serious ninauza Shamba langu lenye ukubwa wa hekari 2 na Robo lililoko Kigamboni eneo la Buyuni.Shamba liko Salama halina Mgogoro wowote ni langu binafsi na niko tayari kwenda popote...
nakufanyia installation ya program zote muhimu kama vlc,mozilla,google chrome,adobe reader na nyingne kibao hyo hutolei pesa ni pc zenye 4GB ram 500 GB hard disk na processor core i5 2.5GHZ very...
*BEACH PLOT* FOR SALE AT BUYUNI-KIGAMBONI
Directions: Buyuni, kigamboni. Dar es salaam
Price: TZS 18,000,000
Acres: 2 acres and 1/4 with documents.The plot is strategically positioned for...
Plot ya kwanza::
Ipo Puna 45km kutoka ferry.
Size":Heka 3.75 zipo baharini kabisa
Kina ghorofa moja lishajengwa anaishi mzungu.
Price:800,000USD Negotiatable
Kina Title Deed
Kiwanja cha...
Viwanja vinauzwa, ukubwa wa miguu 20* 20, eneo la kibaha, picha ya ndege, eneo lipo km 1.5 kutoka barabara kuu ya morogoro! Bei ni tsh 3M! Kwa mawasiliano zaidi 0656142433
Wadau habari!kwa wale wakulima wa mapapai na mananasi waliopo Dar es salaam na mikoa ya karibu na Dar es salaam naomba wani pm kama kuna uwezekano wa kufanya biashara!asanteni!
Nauza mlango wa kioo wenye frem za mbao unaofaa kwa matumizi ya frem ya biashara kama salon, butcher n.k
Urefu ni futi 6
Upana futi 5.4
Mlango umetumika kwa miezi miwili, baada ya frem...
Participate in campaign to raise awareness of new patented high tech anti-online identity theft software by telling others and invite them to the campaign and get rewarded in company shares...
Wakuu hembu mwenye taarifa atujuze.
Mie kwangu Star TV haishiki,mamboya AZAM TV,ila Wife yupo Dar ameniambia kwamba ameona Tangazo kwenye Star Tv kwamba kuna viwanja katika Mji wa mfano na...
viwanja vinapatikana hapa kibaha kongowe karibu na secondary ya heritage, bei ni m3 mita 20 kwa 20 vpo barabarani njia ya kwenda soga secondary ukihitji nione pm
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha -...