Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Baby wa kitaa biashara imenishinda!kukaa kibandani kusubiri wateja ambao hata sijui watakuja au la imekuwa ngumu!nauza line yangu ya TIGO PESA bei lakin nane tu!changamkieni basi mwenzenu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Umeme mdogo umekuwa kero kwa watu wanao tumia vifaa vikubwa kama vile motor;mafriji n.k Hata Stabilizer zimekuwa zikishindwa kukabiliana na tatizo hilo Inafikia hatua vifaa hivyo havifanyi kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
PLUS FINANCE COMPANY LIMITED ni Kampuni ya Kitanzania inayomuwezesha Mjasiriamali au anaetaka kuwa Mjasiriamali, Mfanya Biashara au anaetaka kuanzisha Biashara na Mwenye Kampuni au anaetaka kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haijalishi size, yoyote ile tutazungumza biashara. Nipo Dar Tuwasiliane PM kwa aliye serious.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tupo Toangoma along Kigamboni road .bei zetu ni nafuu.Ndanda Engineering work. 0719 744806.karibuni sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello watanzania wenzangu..!! Nimekuja hapa kutaka kupata fundi computer kwa maeneo ya dar..okay nina DELL INSPIRON N4010 sasa ina tazizo kwenye cover linaloshikilia DISPLAY hasa kwenye maungio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapi nitapata huduma ya kuchora tatoo hapa DSM nataka nijichore mwenye kujua sehemu yenye huduma nzuri na kuzingatia usafi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu naweza pata wapi hii kifaa hapa dar... na bei iko vp??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jf,nahitaji sabuni zilizoumia au kupondeka hata kuvunjika, mwenye nayo au kufaham mahali pakuzipata naomba anipm.
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Haya wenyekazi zao. Nipeni bei hapo na ukubwa wake,na maelezo ya ziada. Ikiwa at Walking Distance kutoka Harvard East Africa School itakuwa bora zaidi. Niambiwe na kamisheni yangu kabisa,tusije...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
sifa iwe na ram isiyopungua 2gb hdd 500gb in a good condition na bajet yngu ni 350k kwa laptop na 300k kwa desktop pia make sure upo moro.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari! kwa hapa dsm wapi naweza pata kiwanja cha wastani kwa ajili ya kujenga nyumba ya makazi kwa2.5M?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii; Kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Bwama hapa Chanika. Ninauza kuanzia ukubwa wa heka moja na kuendelea. Bei ya heka moja ni Tsh MILLIONI MOJA. Kwa mwenye kuhitaji...
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Habar wakuu, Nauza lain yangu ya mpesa tigopesa na airtel. Zote nauza lak9, mpesa lak na nusu airtelmoney lak na nusu na tigopesa lak 6. Napatikana kwa namba 0712620078
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta fedha millioni 7.5 na niaweza kurudisha million 8 ndani ya mwezi mmoja. Dhamana kadi ya gari....Naomba msaada wenu, nina jambo natakiwa kutatua ndani ya mwezi mmoja. Natanguliza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nawaletea habari njema. Nyumba yenye title deed ikiwa na eneo la ukubwa wa square meters 645 inauzwa Kigamboni eneo la Mikadi Beach, Mita 200 kutoka lango la Mikadi beach. Nyumba hiyo ina...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Gari IPO ktk hali nzuri imetembea kidogo tu trip za town.IPO dar Bei ni m6.maelezo zaidi ni pm!
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Simu tajwa hapo juu inauzwa Mawasiliano 0763263740
0 Reactions
3 Replies
926 Views
Gari aina ya Toyota Duet inauzwa tshs 4,950,000. Iko kwenye hali nzuri sana haijapata ajali na mafuta inanusa cc 980 (1ltr 18km). Imetembea km 80,000 ,Lady driven .For more details just call 0713...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chumba kipo mwenge mitaa ya TRA kinapangishwa kwa mwezi 80,000 kwa maelezo zaidi.. 0713415537
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom