Baby wa kitaa biashara imenishinda!kukaa kibandani kusubiri wateja ambao hata sijui watakuja au la imekuwa ngumu!nauza line yangu ya TIGO PESA bei lakin nane tu!changamkieni basi mwenzenu...
Umeme mdogo umekuwa kero kwa watu wanao tumia vifaa vikubwa kama vile motor;mafriji n.k
Hata Stabilizer zimekuwa zikishindwa kukabiliana na tatizo hilo
Inafikia hatua vifaa hivyo havifanyi kazi...
PLUS FINANCE COMPANY LIMITED ni Kampuni ya Kitanzania inayomuwezesha Mjasiriamali au anaetaka kuwa Mjasiriamali, Mfanya Biashara au anaetaka kuanzisha Biashara na Mwenye Kampuni au anaetaka kuwa...
Hello watanzania wenzangu..!!
Nimekuja hapa kutaka kupata fundi computer kwa maeneo ya dar..okay nina DELL INSPIRON N4010 sasa ina tazizo kwenye cover linaloshikilia DISPLAY hasa kwenye maungio...
Wapi nitapata huduma ya kuchora tatoo hapa DSM nataka nijichore mwenye kujua sehemu yenye huduma nzuri na kuzingatia usafi
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Haya wenyekazi zao.
Nipeni bei hapo na ukubwa wake,na maelezo ya ziada.
Ikiwa at Walking Distance kutoka Harvard East Africa School itakuwa bora zaidi.
Niambiwe na kamisheni yangu kabisa,tusije...
Habari zenu wanajamii;
Kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Bwama hapa Chanika. Ninauza kuanzia ukubwa wa heka moja na kuendelea. Bei ya heka moja ni Tsh MILLIONI MOJA. Kwa mwenye kuhitaji...
Habar wakuu,
Nauza lain yangu ya mpesa tigopesa na airtel. Zote nauza lak9, mpesa lak na nusu airtelmoney lak na nusu na tigopesa lak 6. Napatikana kwa namba 0712620078
Natafuta fedha millioni 7.5 na niaweza kurudisha million 8 ndani ya mwezi mmoja. Dhamana kadi ya gari....Naomba msaada wenu, nina jambo natakiwa kutatua ndani ya mwezi mmoja. Natanguliza...
Wakuu nawaletea habari njema. Nyumba yenye title deed ikiwa na eneo la ukubwa wa square meters 645 inauzwa Kigamboni eneo la Mikadi Beach, Mita 200 kutoka lango la Mikadi beach.
Nyumba hiyo ina...
Gari aina ya Toyota Duet inauzwa tshs 4,950,000. Iko kwenye hali nzuri sana haijapata ajali na mafuta inanusa cc 980 (1ltr 18km). Imetembea km 80,000 ,Lady driven .For more details just call 0713...