Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza samaki sangara fresh, kilo @ 4500 tsh kwa walio serious waweke mawasiliano yao hapa,ntawatafuta..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta professional makeup artist naomba tuwasiliane thru 0762639283 or u can PM ur number....thx
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Nyumba nzuri sana ya Kisasa(Self contained) yenye vyumba 3 vya kulala, sebule, dining na jiko,fence, parking ya magari 5, na majirani wastaarabu inapangishwa Kigamboni kwa sh. 400,000 kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mbutu- vina offer vipo 10 Kuanzia Sqm 800 mpaka 1200. Bei 12,000 @ sqm Payment terms: 100% Mwasonga Chekeni vilikuwa 245 vimebaki 138 Kuanzia Sqm 400 mpaka 5,500 Bei 6500 @ sqm Hiyo bei ina...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Haya mwenye hiyo photoprinter tufanye biashara haraka sana piga 0766988326
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Chumba kinatafutwa mitaa ya survey au changanyikeni.. Specs...kuwe kuna acess ya maji, umeme na usalama Bei. Maelewano.... Na galaxy S2 inatafutwa kwa 250000.....
0 Reactions
5 Replies
1K Views
THINK TANKS. Nina sarafu nyingi zilizotumika zamani sana, wakati wa ukoloni. ni dizaini kama Rupia, lakini za Queen Elizabeth I na repees. nilishasikia kwamba kuna jamaa au maduka fulani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gari ya kisasa VOLTZ ya mwaka 2002 inakilometer160000 Kama unahitaji tuwasiliane Kwa 0788752672
0 Reactions
4 Replies
1K Views
natafuta room maeneo ya kariakoo. budget yangu 100,000 hadi 150,000 kwa mwezi
0 Reactions
0 Replies
878 Views
habari wakuu....nipo dar nahitaji smartphone nzuri isiyo na tatizo lolote......budget yangu ni laki 4 kamili ### no PM.......nitafute through this number 0714609907
0 Reactions
4 Replies
1K Views
salamu waheshimiwa,
0 Reactions
0 Replies
891 Views
nyumba mpya yenye chumba,sebure na choo cha kujitegemea,tiles kote inapangishwa iko tabata kimanga. kodi ni 150000 kwa mwezi,inahitajika kodi ya miezi 6 mawasiliano # 0714358610
0 Reactions
8 Replies
2K Views
FULLY REGISTERED AND 1 YEAR COMPREHENSIVE INSURANCE. ENGINE: VVTi NCP65 CAPACITY: 1500cc DRIVE: AUTOMATIC MILLAGE: 92469KM PRICE TSH 12,500,000 (NEGOTIATION) Whatsap +255787736765
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha tangazo kinavyojieleza kuna jengo moja ambalo lipo katikati ya mji linauzwa pamoja na kiwanja kimoja kipo maeneo ya shangani..Jengo lipo mahala pazuri sana kibiashara. Yeyote...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
habari zenu wakuu,kuna kiwanja kinauzwa kipo Mtwara mjini katika mtaa wa MITENGO jirani sana na mji wa MIKINDANI kipo maeneo jirani na bahari japo bahari haionekani ila upepo wa bahari unafika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
iwe ktk hali nzuri na iwe kuanzia A had D, bei isizidi 3mil, ukiipata naomba uni PM
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Cloud and Dedicated servers that are backed with Enterprise grade SSDs (Solid State Drive) enabled by Redundant Array of Independent NAND (RAIN) show a very noticeable improvement over their other...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Hbr wana Jamiiforum kwa yeyote anayetaka vitabu kwenye hii cz ya clinical medicine semester ya kwanza na semester ya pili tuchonge in my email {[email protected]} nitakusaidia kwa bei nafuu.shukran
0 Reactions
2 Replies
3K Views
gari aina ya PASSO inauzwa bei ni milion 7 kwa mawasiliano ni PM tufanye biashara cc 980 imetembea KM 37000 Ni 4 cylinder ishalipiwa ushuru wote ipo barabarani
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom