Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nicheki hapa 0652550240 au 0755163925...kama uko Mwanza ni vizuri zaidi
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Gari hyo hapo chini inauzwa bei ya kutupa haina tatizo lolote ila mmiliki anahaman nchi so anauza vitu vyake. Ni ya mwaka 2002 na ni cc 1000. Kwa mwenye kuhitaji nichek 0713 80 67 66. Bei...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
natafuta gas stove ya plate mbili kioo mwenye nayo call me thru 0716623022
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Mwenye nayo aniinbox namba yake faster tufanye biashara• Cheers!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mnavyojua kwa sasa maisha yalivyo tight nimemaliza na shahada yangu nimetafutafuta ajira ndani na nje kwa muda wa miaka mitano nikaona nijitupe kwenye ujasiliamali. Kwa hiyo nina mashamba ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hari za mchana wana JF, matumaini yangu mu-wazima wa afya. Ndugu yenu napata kigugumizi katika kuchagua aina ya gari ambayo haita nisumbua kati ya ist, toyota allex/runx au spacio new model...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu mnavyojua kwa sasa maisha yalivyo taight nmemaliza na kadegree kangu nimetafutafuta ajira ndani na nje kwa mda wa miaka mitano nikaona nijitupe kwenye ujasiliamali kwaiyo nna mashamba ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu.haina mkwaruzo wowote, nimetumia less than three months. nipo arusha mwenye kuhitaji karibu pm au nitafute kwa 0684204080 bei 140,000 negotiable
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibuni wadau wa arusha,,,,,,,,,non stop hits,1 hour show
0 Reactions
0 Replies
2K Views
habari wanna jf,kama kichwa hapo juu kinavojieleza Kwa yeyote aliyenalo ani pm.
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Karibu ya zaidi ekari 60 zinauzwa kutoka katika shamba kubwaaaa, ambapo mteja anaehitaji atakatiwa ukubwa wa kuanzia ekari moja na kuendelea, shamba lipo karibu na barabara kijiji cha Mzenga -...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JANJARUKA; Achana na Simu used LEO, Fungua BOKSI kwa bei nafuu! Get a BOXED BRAND NEW Android Phone at BUDGET PRICE; Introducing Gowin M7 At 160,000/= ( ingeitwa Samsung ingeuzwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Iwe na rangi nyeusi na isiwe na tatizo lolote. Bajeti yangu Laki 2 Kwa aliye serious tuwasiliane PM.
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Habar wakuu. CD/DVD Duplicator inauzwa shilling ngapi? Ahasante.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ipo Benz inauzwa Tsh 8M mazungumzo yapo,imetumika Dubai na mwsho hapa Dsm,ipo katka hali nzuri,imetembea km 200K,picha znafata wakuuu,kwa alie na uhitaji wa gar hiii nifate PM tuangalir jins ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mwenye p6 mpya anichek 0767879784.iwe nyeusi. Bajet ni 450k.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi! Nauza bale la mitumba la kg 45 la magauni ya watu wanene kwa 350000/= tu. Napatikana kurasini, ambaye atahitaji aniPM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani kwa anayehtaj alteza nyeusi inauzwa kwa bei nafuu sana.milion 6 na nusu.ni mpya na haijachakaa.atakayehitaj tuwasiliane kwa namba 0712620078
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwa salama! Nimeamua kuishi Morogoro, kazi zangu nafanyia mvomero! Nahitaji nyumba ya kuanzia maisha iwe maeneo ya barabara kuu ya Moro-Dodoma! Iwe na chumba kimoja self, jiko, sebule, maji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu natafuta gari tajwa hapo kwa ajili ya shughuli ya harusi kesho J'mosi tar'11/10. Sherehe itafanyika Mbezi ya Kimara. Gari iwe in excellent condition,, iwe ni Silver au white. Km unayo please...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom