Habari wadau!
Msaada waungwana,natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ukonga mpaka G'mboto. Iwe self,ina vyumba vya kulala kuanzia viwili,sebule,jiko,maji yawe karibu na parking. Ikiwa na fens...
Habari wana jf..
Naomba kufahamu ni tochi za aina gani ambazo ni angavu sana ambazo naweza kutumia kwa shughuli za ulinzi usiku...
Iwe ni mwanza ama mkoa wowote ntajitahidi kuzitafuta...
Mdogo wangu anahama dar anaacha miezi 6 , njoo pm nikupe contact muelewane .
Nyumba iko getin, ni chumba na sebule ila sebule ni ndogo kuliko chumba alafu self, bei 75000/= mabibo hostel
Wadau nauza CARINA Ti 1490cc, Rangi Nyeupe, ipo Dar es Salaam, vimelipiwa ROAD LICENCE, BIMA mpaka November, 2013, tairi ni mpya. Bei ni 9,000,000/= (9m). Sababu ya kuuza naenda masomoni Nje ya...
Selling my Rav4, beautiful car and Mint condition, ni gari ya UK, manual, has no problem, at least major maana hii ni machine, but its beautiful and drives nicely, tinted glasses, dark green...
eneo linauzwa likiwa na nyumba ya vumba vinne,liko ndani ya uzio na linatazamana na barabara kuu ya tabata kimanga.mbele kuna flemu za biashara nne. eneo limepimwa na lina hati. bei ni milioni 200...
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 !
Gharama za...
Office inapangishwa ipo mwenge nyuma ya kituo cha Tegeta opposite na Efatha bank,300,000 kwa mwezi kodi miezi 6 ina vyumba 3,reception na vyumba 2 vya office ! Contact 0756 090 222 !
Gharama za...
Unahitaji kujiandikisha kwenye zoezi la kuomba VISA kwenda Marekani,
Japo zoezi zima ni bure na kujiandikisha ni kwenye mtandao tu, lakini kuna baadhi wanapata shida sana sana ya kutuma picha...