Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ninauza mini pajero ipo kwenye hali nzuri.. Haina tatizo lolote lengo la kuuza nataka kununua gari nyingine ya familia bei milioni saba.... 7milion maelewano yapo sumu 0657088003 tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
866 Views
Habari zenu wanafamilia wa JF Inahitajika Noah ya kukodisha kwa ajili ya kusambaza vifaa vya ofisini na vitabu mashuleni.mwenye Noah na anahitaji kulease ani pm
0 Reactions
1 Replies
872 Views
Habari, nahitaji power amplifer zenye uwezo wa kupush double bezi 2 za 2 ohms .mwenye nazo anipm.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Inauzwa huawei G510 Imetumika mwezi tu iko katika hali nzuri sana.hii si ya tigo inaingia line zote. Bei 230000 chek 0654160092
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikiwa kama mmoja wa wamiliki wa kiwanja eneo hilo la Kerege Bagomoyo! Nawatangazia wahitaji kupata viwanja kwa bei nzuri katika hali ya uaminifu na ukweli.Ni viwanja Vyenye Ukubwa Wa 20kwa20 na...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Nauza tv ya samsung led 23 inch, imetumika na iko kwenye hali nzuri sana. Bado iko ndani ya warranty ya samsung. Kwa mawasiliano nichek at 0717301520. Napatikana ubungo kibo.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natafuta magari Yaliyopata ajali na kuuzwa na bima
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta simu aina ya Sony experia z.......ofa yangu ni shilingi laki 5.......iwe katika hali nzuri!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
757 Views
wadau nina mercury au zebaki inauzwa kwa bei cheee kama vp nipm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Htc one x 300,000/=Tshs fixed Accessories 0659223322 Dar es Salaam
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Ni 2km from main road kuelekea kigamboni, ukitokea kongowe kiko upande wa kushoto karibia viwanja vya kupimwa ni futi 70 kwa 170 kina tofali 5000 na kokoto trip 1 ya selela nauza vyote bei ni 17m...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo sombetini,ina vyumba 12,inafaa sana kwa kupangisha.Maji na umeme tayari. Inafaa kwa kupangisha.Bei tsh 58,000,000/=.Mazungumzo yapo.Dalali hahitajiwi. simu 0757541456
0 Reactions
13 Replies
4K Views
I am looking for softwood makers of kitchen units, wardrobes, chest of drawers, sideboards etc preferably kiln dried.
0 Reactions
0 Replies
794 Views
chuo cha afya Tandabui kinawatangazia nafasi za masomo kwa ngazi ya Diploma na certificate kwa course za Clinical Assistance na Laboratory technicians. Chuo kipo jiji Mwanza. kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta wapi nitapata mtu/watu wanaotengeneza furniture za softwood. Interest yangu ipo kwenye kitchen units, milango za wardrobe, sideboards, chest of drawers etc preferably kiln dried.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za hapa jamvini wadau, Natafuta hostel nzuri hapa dar es salaam tafhali kwa anayejua hostel nzuri anijulishe!
0 Reactions
10 Replies
3K Views
No negotiation...Only serious buyer. Ni pm.. Pesa inayopatikana ni kwaajili ya charity contribution
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau husika na kichwa cha habari halo juu Nina uza Rav 4 ipo Arusha nicheki kupitia namba 0718146734 kupata picha watsap Year of Manufacture: 1999 5 doors Transmission: Automatic Engine: Cc...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari apo juu computer aina ya dell imetumika kwa wiki mbili tu naiuza coz nimepata laptop kwaiyo hii computer itakua aina kazi kwa mawasiliano 0656899091 au njoo pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari yenyu wadau... Nawafahamisha kwamba ninategemea kuvuna matikiti makubwa kwa madogo mwishoni mwa mwezi huu wa tisa 2014, na yatauzwa kulingana na ukubwa wa tikiti lenyewe. kwa atakae hitaji...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Back
Top Bottom