Hallow wana JF,
Nauza Used Desktop Computer zangu kutoka Germany, wenye nia ya kununua anipm, ninazo 8 @ 250,000. Nipo Dar.
Natanguliza Shukrani zangu.
Natafuta mtu anayeweza ku-tafsiri(translate), document ya kiingereza kuwa kiswahili. Ina kurasa kama mia moja, ningependa kujua pia kwamba inakuwa ni gharama kiasi gani.
Wakuu nauza simu tajwa hapo juu
sifa zake ni;
3g network
256mb ram,512rom
3.5 mp camera
os: v 2.3 gingerbread
pia ina-support whatsapp,tango,viber,instagram etc.
bei tsh.75000/- ila inapungua...
Habari wana jf kwa mahitaji ya viatu bomba vya mitumba kwa wakina dada plz tuwasiliane kupitia namba 0659-991891 kwa bei nafuu sawa sawa na bure kiatu unavaa peke yako town.nifollow insta viatu...
Wakuu habari gani?
Nahitaji vyuma vya mazoezi vya size ndogo kwa ajili ya kukimbia navyo(Dumbells), alie navyo naomba aje PM.
Viwe na uzito sawa na si zaidi ya kilo 5 kwa kila kimoja.
Asanteni
New HTC One XL & X for Sale
XL Gray & X White in Colour
32GB Memory,1GB RAM
Accessories included
Price:XL 349,000/= & X 335,000/=Tshs
0659223322 Dar es Salaam
Habari zenu wakuu?
Kuna kiwanja chenye ukubwa wa mita 100 na Upana wa mita 42,ambacho kina nyumba yenye vyumba vinne vya kulala,sebule,dining na jiko,ina mita yake ya LUKU na maji inauzwa MILIONI...
Habarini wana JF,
Kwa mara nyingine tena PowerBanks zenye sifa zifuatazo zimewasili.
13000mAh ziina Output USB port 2 (uwezo wa kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja), bei Tsh 65,000
6000mAh...
1. Umechoshwa na smart phone yako kuishiwa charge wakatitanesco wamechukua umeme wao?
2.Unataka kusafiri kwenda kijijini kwenu ama mikoa mingine ambapo tanescowameamua tu kusiwe na umeme na...
Kuna mradi nataka kufanya Mafinga mjini. Nina omba yafuatayo,
1. Kupata mtu mwenye eneo/uwanja niweze kukodi kwa miaka miwili tu
2. Kama kuna mtu anapangisha jengo kubwa linalofaa kwa ajili ya...
nauza samsung s4 min used 3 month unapata charge yake orgnal na earphone yake
380000
kama upo serously check me via 0716 338838 whatsup kwa picha na specfications
Bicmarkshop wanakuletea Htc One M8 kwa Shilingi 1,050,000/=
simu hii ni mpya kabisa ikiwa na warrant ya miaka 2,haiwezi kuingia maji kabisa wala kupasuka.
karibu katika duka letu lililopo moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.