Nyumba hii ni mpya ina vyumba vitatu,kimoja master.sebule,maji ndani'luku yako mwenyewe.ina gipsum,tairis ndani.ipo ndani ya geti,kodi laki tatu kwa mwezi,mawasiliano 0716 160639.
Wadau, Mchakato wa ujenzi unaendelea.
Kwa watu wenye experience na ujenzi hapa Dar, ni fundi gani wazuri kwa ajili ya window grills?
Naangalia zaidi professionalism na bei iwe reasonable...
Imetembea km 75320,cc yake 2000,na n production ya mwk 2004 bei yake ni m9.5 kwa mawasiliano tumia no hii0768359292 maana biashara n maelewano pics chin apo
Natafuta chumba cha kupanga hapa mjini dodoma kiwe kimekaa maeneo mazur sana na kisiwe maeneo ya changombe au mail mbili lakin maeneo mazur napenda iwe area c,makole,,,airport area d na maeneo...
Gari tajwa hapo juu inauzwa
manufacture year 2009
model no j86
engne model Z30
cc 3000
odometer 95700 KM
bei ni milioni 35 maelewano yapo kwa mwenye kuhitaji
mawasiliano 0714358610
Secure your house with Green Vision Ltd at affordable and well made paying package.
Green vision offers all types of security system ranging from:
1. Electric fence at 18,000/= per meter
2.CCTV...
Poleni na majukumu wakuu...natafuta toyota wish ya kununua...yenye namba ya C za mwisho mwisho.......alionayo anipm please..anitumie picha na price....shukrani..bajeti milioni 8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.