habari wana jf
nauza simu aina ya nokia 206
rangi yake ninyeupe
imetumika miezi 2 pia haina tatizo lolote hasa kimuonekano na kiutendaji wa kazi
SIFA ZAKE
ina support whatsaAp...
Mimi ni kijana mtanzania nimeajilawa na ninapokea....! mshahara., wangu kwa ajili ya uwekezaji katka ufungaji wa kondoo huko nyumbani mkoani mwanza..!
naomba mnisaidie watanzania hapo ulipo...
Kichwa cha maada chajieleza kwa anaehitaji ani pm haraka coz mnajua jinsi gani walivyo adimu. Napatikana kibaha pwani nawauza size ya kati 15000 na wakubwa 20000
Wakuu kuna landcruiser bj60 hii hapa chini iko katika hali nzuri sanaa zaid ya sana:-
Engine-3f
Colour-Black metallic
Odometer-95,000 km
Steering - LHS
4WD
year-1990
BEI: 10Mil
+255714478797
Wadau ninaomba msaada wa kupajua wapi panapouzwa kemikali za kuprintia (printing) mfano MESH WIRE, PHOTO-EMUSION & INK, jijini Dar es salaam.
Kama nitajuzwa na gharama zake nitashukuru.
ukubwa-vyumba viwili pamoja na choo
ukubwa wa kiwanja-ni mita 50 kwa 30
huduma-maji na umeme vinapatikana Maji ni ya kisima na sio mbali toka mjini hivyo access kwa huduma nyingine ni rahisi...
Wadau habari zenu, Napenda kuwataarifu kuwa tunauza vitu mbalimbali vya umeme kwa bei nafuu kabisa hata mtanzania wa hali ya chini anauwezo wa kununua .
Tunauza
1. TV flat screen mpya na used...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.