Kuna robo na nusu hekari,vipo 500m kutoka Bagamoyo Road.Vipo njiani yaani unatoka barabara ya mtaa na kuingia
kwako.Umeme na maji vipo jirani.
Bei ya robo ni 20m na nusu ni 50m.Bei imezingatia...
Natafta mtaalam wa kudisign card za haruc nzuri kwa bei nafuu,card ambazo ni nzuri kuanzia mpangilio wa colors na material used, pia natafta fundi mzur wa kushona nguo hata ukimuonyesha kwenye...
Tunatengeneza na kudisign blog, kwa anae hitaji tuwasiliane kupitia
[email protected] au
Piga simu 0659505081.. kwa sample ya blog tembelea
MWANAJAMII WA KWELI
Tunatengeneza na kudisign blog, kwa anae hitaji tuwasiliane kupitia
[email protected] au
Piga simu 0659505081.. kwa sample ya blog tembelea
MWANAJAMII WA KWELI
habari
changamkia fursa ya kipekee itakayokuwezesha kujipatia hadi tsh 2000000 kwa mwezi kwa kukodi line za uwakala
utalipia gharama zifuatazo
tigo pesa ths 200000kwa mwezi
mpesa ths 50000kwa...
Habari wakuu najua hapa mbali na watafuta kazi kuna wafanyabiashara kwa yeyote anaeuza laptop kwa bei nzuri plz naomba unipm nataka aina ya dell, hp, samsang au sony ya bei rahisi plz nipm...
Habari wanajf;
mimi ni mtumishi wa umma na kipato changu ni Tsh 400000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi forester/ suzuki escudo/corona premio.
Naomba ushauri kama kuna sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.