kiwanja kizuri chenye ukubwa wa hatua 44 kwa 22 (wastani wa nusu heka) kinauzwa, kipo chanika kwa ngwale, wilaya ilala dsm, ni jirani na barabara kuu (ni mtaa wa pili unaofuata baada ya barabara)...
KIWANJA MBEZI NJIA YA MPIJI MAGOHE
Ukubwa 38x35
eneo tambarale unashukia kituo cha machimbo
umeme upo barabara mpaka kiwanjani. kiwanja kina miti ya minaz8,michungwa 4 na mipera2 , mzambarau 1
bei...
Iko in gud condition,
Used for three months.
Going cheap Tsh 290.
Iko na charger yake pamoja na earphones. Lets talk Via Whatsapp or Viber 0755118311 or 0688671212
Habari za jioni wakuu. natafuta mifuko mipya ya salfeti yenye ujazo wa debe sita na debe saba. nanunua pieces 1000 na kuendelea. bajeti yangu @ 450 per piece. nipo Arusha
Habari wadau, naomba mwenye monitor ya kowpyuta "chogo" anijulishe kwa sms ili aniuzie, nahitaji hiyo kitu. Iwe na button na iwe nzima. Nicheki 0714-408238. Nipo dsm.
Toyota Fun cargo for Sell
Price 7.5 Million but negotiable ( Bei mazungumzo )
Car-Automatic
Engine VVTI 1299
Manf. 1999
For more info. Call or Whatsapp
0712800858 / 0767820878
wadau nina hitaji la mashine ya kusaga mahindi inayotumia dizeli, je naweza kuipata kwa gharama gani?? Ikiwezekana mtu anidadavulie na specification zake maana najua lazima zitakuwepo za aina...
wadau najua muda wote biashara inaendelea.Kama kuna mtu anauza feni lkn iliyo vzri naomba anipm.
Nimeenda dukani bei imekuwa kali mno kwa feni zenye ubora.Mimi hapa nina elfu 40 tu wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.