Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
WANA JF, NAOMBA MSAADA WA KIMAWAZO! NATAMANI KUFANYA BIASHARA NINA 2MIL. NIPO SINGIDA...KAMA UPO SINGIDA NIPO TAYARI TUSHIRIKIANE TUJUE TUNAFANYAJE BIASHARA...!NAFIKIRIA DUKA LA KAwaida!
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Power bank hizi kwa smartphone ya kawaida inaweza chaji mara tatu,ni slim in shape,ina pin za simu aina zote bei ni sh 35,000 tu niko dar Mawasiliano ni 0713228915 na 0784228915 Sent from my...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Bei TSh. 4,500,000/= Piga simu 0715 505171 kwa mazungumzo. Mahali ilipo gari ni Tabata, kikazi napatikana Posta mpya Jengo la CRDB Azikiwe Branch waweza fika hapo tuonane na kupanga kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Noah inauzwa tshs mil. 11 Mileage 190,000km Ya mwaka 2002 Maongezi yapo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo mwanza natafuta gar tajwa hapo Nina mill 3.5 ila nataka C.C 990. 0762369619
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji software tajwa hapo juu kwa mwenye nayo tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Shamba la ukubwa wa ekari 200 linauzwa lipo mugumu serengeti linapakana na hifadh ya serengeti.eneo hilo inafaa kwa ujenzi wa hotel ya kitalii shule napia hata kwa kulima pia
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jamani naombeni ushauri. nina biashara yangu ya stationery hapa dar es salaam imesajiriwa na lesini ya biashara ninayo. sasa nataka kuchukua mkopo bank kiasi cha 5-7 million ili ni kuze biashara...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari lipo kwenye hali nzuri.Imetembea km 190000.6 cyl. Lipo Arusha. Bei. 3,500,000/ Call 0768008272
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni salon Ya kisasa nzuri ipo maeneo ya Ubungo Maziwa Opposite na Hotel Mpya Ya Moveck... Scrab Hair cutting mask wave super black Vyote vinafanyikaa Hapo.. Full Ubaridi wa AC..Karibuni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu nauza modem ya tigo type huawei bei chee nipo dar nitafute kwa nambari 0715959299
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HELLO MEMBERS IN JF, On behalf of NETPROZONE ICT COMPANY, have this good news: NETPROZONE ICT COMPANY, is an upcoming firm which bring together various ICT professionals who have been practicing...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Habari wandugu, kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta) naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa mwenye nayo mpya au used nina ihitaji saaana
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Wakuu, Nina mama yangu mdogo anahitaji mkopo wa milioni 6 kwa haraka kwa mtu binafsi au kwa taasisi yeyote na atakuachia nyumba yake yenye vyumba vinne na sebule pia ina uwanja wa kutosha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello Great Thinkers, Napenda kuwaataharifu wale wanaopenda Network Marketing( Biashara ya Mtandao)kwamba kuna fursa mpya kabisa ya kufanya biashara hii imeanza mwezi wa Sita, hapa tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tupo kati kati ya jiji,tunauza chakula cha mmbwa,mifupa hii tunaikusanya kwenye mahotel na bei n sh.7000
0 Reactions
0 Replies
3K Views
mwenye kuweza kuniwekea games za play station kwenye my desktop tuwasiliane kwenye 0688 206680 npo dar NB; Nahitaji games za mpira tu (Pes na Fifa)
0 Reactions
2 Replies
665 Views
mwenye digital camera anaeiuza aweke details na bei maana nahtaji na iwe na uwezo mzuri!!!
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Back
Top Bottom