Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ni PM tuongee biashara. Ziwe bei chee
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Mixer iliyotumika Uingereza kubwa kiasi labda kutosheleza kiroba cha unga inauzwa milioni 3.5.Ipo dukani Ilala na kwa maelezo zaidi au kuiona tafadhali piga namba hizi...0773027777 au 0717810318
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jiko linauzwa milioni 3 limetumika na lipo katika hali nzuri.Jiko hili linatumia Gesi lakini vilevile linahitaji umeme kwa ajili ya kuwashia tu yaani swichi yake inatumia umeme lakini matumizi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
SAMSUNG BRAND Samsung Galaxy note 2 for (Black Used) ...........................................1,000,000/= Samsung Galaxy note 1 for (White...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuku wa Kienyeji wakubwa wanapatikana kwa 12,000 tu, ukitaka mzima au aliyechinjwa vyote tunafanya, unaweza kutoa oda yako kupitia 0717-066624 au katika mtandao wetu bid or buy - Tanzania Furahia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza computa hp flat sceen pentium m imetumia miezi8 iko safi sana orignal ipo sawa na zinazotumika crdb benki natoa garantii mwaka mzima bei laki 3 mawasiliano email [email protected]
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza mayai ya blue yanayotibu kisukari presha na magonjwa ya moyo pia mjasiriamali anatakaiwa kufuga hawa kuku mayai yake ni gali sana huuzwa mpk 5000/= number yangu ni 0757662401
0 Reactions
31 Replies
8K Views
computa inauzwa hp desktop hp pentium m flatsceen iko kwenye hali nzuri sana galantii natoa mwaka moja mi nimetumia miezi6 tu bei yakuuzia laki3 mawasiliano yakunipata e-mail [email protected]...
0 Reactions
0 Replies
820 Views
nawahitaji walili wasiwe wadogo........umri chini ya miezi minne ningewapendelea zaidi...kwa atakae kuwa nao tuwasiliane kwa namba ifuatayo kuzungumzia namna biashara inavyoweza kufanyika na bei...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Niwapi dar wanaprint majina kwny jez za timu na bei zao zikoje?
0 Reactions
2 Replies
863 Views
hey wana jf nawakaribisha katika blog yangu ya fashion ambayo ni www.africanamitindo.blogspot.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haloo wana jm nahitaji simu iliyotumika(used) galaxy s2 kwa yeyote anayeuza
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu poleni na majukumu, nina swali kidogo hivi kwa mil 60 ninaweza kuagiza range rover sport from uk...? Nikimaanisha mpaka kulipia kodi kila kitu.....inaweza kutosha ?......nisaidieni wakuu
0 Reactions
51 Replies
8K Views
Jamani ninabiashara ya mafuta ya ubuyu ila masoko yanasumbua nisaidien
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta ipad 3 inayo sapoti wifi na 4G....Pia natafuta mac book air... kama una hizi bidhaa ni pm
0 Reactions
0 Replies
883 Views
galaxy s1 4 sale bei 350 tu
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Haloo wana jm natafuta simu iliyotumika (used) samsung galaxy s2
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Ndugu zangu naomba msaada wenu wapi naweza kupata baiskeli ya kumsaidia mgonjwa ambaye hawezi kutembea baada ya kuvunjiku mguu. Ninaihitaji kwa haraka sana. Mwenye kufahamu inakopatikana naomba...
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Over the years, relatives have wasted money sent to Tanzania specifically for building a dream home. Most of these relatives’ funds were misused or the home that was built did not make...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakulu Huyu Ndugu ni rafiki yangu nilisoma nae Minaki Sekondari around 1996-1998. Nilikuwa na mawasiliano nae ya email for a while then tukapoteana. Najaribu tu ku-reconnect na an old friend...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
Back
Top Bottom