Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari wadau. nauza mashine ya kufua.. aina ya von hotpoint.. size 15kg kwa laki 6.. size kubwa inafua mablanket, mapazia makubwa bila shida.. inafaa sana kwa watu wenye familia kubwa, wenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wadau. Nina mgonjwa wa miguu anahitaji wheel chair, wapi wanauza dar? na bei ikoje ?
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Kiwanja kina Hati, ukubwa sqm 1828, Kibada block 23 -Kigamboni. Kinafaa kwa shughuli ya biashara, makazi n.k. Bei ni 110 M. Maelewano yapo. Mawasiliano 0713629999
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KILA MWANAMKE AJICHUNGUZE MAENEO YAKE YA UZAZI. [emoji654]Kila mwanamke anapaswa ajichunguze Kila siku maeneo yake ya uzazi. Vile vile kuchunguza nguo zako za ndani unapokuwa unaivua siku hiyo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
IPO Samsung inchi 50 Laki Tisa na nusu tu Lg nchi 42 Laki saba na nusu IPO Mr UK nchi 24 Laki mbili na kumi IPO chogo Laki moja na 30 nchi 21 IPO na chogo nchi 24 Sub woofer Laki moja ina...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Camera Nikon D610 used ipo kwenye hali nzuri haina tatizo lolote kwa 2M Tshs tu. Ina grip, Unapewa na lens ya 24-70mm f 2.8 pamoja na extra battery bure. Napatikana sinza, kwa mawasiliano piga...
0 Reactions
2 Replies
906 Views
Nauza Dagaa waliokaangwa Wa kwanza. Sifa zake: 1. Wameshakaangwa tayari 2.hawana mchanga Hawa ni wazuri Kwa wale wanaopenda Dagaa lakini wanaona shida kuwaandaa,hawa hutapata shida unaweza osha au...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Natafuta muuzaji wa jumla wa huu mkaa nitapata wapi mwenye contact kwa dar
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inatumia line zote Ina speed ya kutosha hadi 150mbs Imetumika mwezi mmoja tu Betri inakaa na chaji sana.![ATT] Bei 80,000/= Napatikana Dar Es salaam
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bei ni 90k, elfu tisini Watt 1000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MREJESHO MASHINE ZIMEUZWA ****UZI UMEFUNGWA***
0 Reactions
32 Replies
11K Views
Kuna eneo, linafaa kwa ujenzi wa shule Kigamboni, Chekeni Mwasonga, Linauzwa Umbali =29km tokea ferry Ukubwa = Takriban eka 10 Umeme = Nguzo 6 unafikia Maendelezo= Kuna banda la vyumba 2 na frem...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tuna uza vitanda vya chum, magrill, madirisham tv showcase, dressing table na stand za viatu kwa bei nafuu kabisa. Ofisi zetu zipo Morogoro, Kihonda- barabara mpya karibu kabisa na duka la vifaa...
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Solarpark bag inauzwa ipo kwenye hali nzur sana bado ni mpya inafaa kwa matumiz ya taa hasa sehem zisizo na umeme au kwa mambo ya utalii ni bag la mgongoni hii solar ina taa tatu adapter na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza king'amuzi cha azam bei elfu 80000 nipo morogoro bila dish
1 Reactions
14 Replies
3K Views
specifications RAM 1GB MEMORY 16 GB ANDROID VERSION 7 cpu 1.3 GHz PRICE 150000/= simu ina kaa na chaji kwa muda wa saa 13 kama ukiwa unatumia non stop kwa masaa hayo SIMU ILINUNULIWA...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nauza iPhone7 yangu Kama spare, imezingua Bassband so nauza kioo, , Battery na camera
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadada hii ni yenu biashara biashara tunauza pochi nzuri sana za culture kwabei nafuu . Tunapatikana arusha Pochi kubwa elfu 30000 Ndogo za saizi elfu 15000 Ndogo kabisa elfu 10000 Pia tunauza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nauza compressor hiyo niliinunua kwa ajili ya kufunga kwenye mashine yangu bahati mbaya imekuwa ndogo haina nguvu ya kusukuma machine, ninaiuza ili nami niongezee ninunue compressor ya dungu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…