KERO Threads

Anonymous
KERO
Habari, Napenda kukuandikia ujumbe huu kuomba msaada wa kutupazia sauti. Kampuni ya Betika inayoendesha michezo ya betting imeshikilia pesa za wataja wao. Pesa hizo zinahusisha miamala ya...
1 Reactions
5 Replies
247 Views
Umeme umekuwa kero kubwa wilayani Tunduru, licha ya kukatika lila mara lakini hii imekuwa too much tangu umekatika jana tarehe 1 saa 2 usiku umeme haujarudi mpaka sasa ninapoandika tarehe 2 saa...
0 Reactions
6 Replies
202 Views
Sioni sababu na nashangaa kwanini UTUMISHI wamekimbilia kutumia ESS na huku ukweli haufanyi kazi, unaingia Online wanakwambia wanashidnwa ku-retrieve taarifa zako, unaomba uhamisho, unajaza kila...
16 Reactions
168 Replies
12K Views
Hali ya vyoo vya stendi ya mabasi ya Bweri katika Halmashauri ya Manispaa ya Musoma ni ya kutisha. Vyoo hivyo ni vichafu, vimejaa, na masinki yameharibika, huku kukiwa hakuna maji kabisa. Pamoja...
0 Reactions
2 Replies
190 Views
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe. Imefika pahala kila kona...
13 Reactions
112 Replies
4K Views
Anonymous
KERO
Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha . Wadau...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Anonymous
KERO
Mimi ni tourist from Kenya. I recently visited Dar es Salaam. Na nilivyokuwa Dar nilipanda ferry kuelekea Kigamboni.. and back.. On my way back to the other side a certain askari hapo tu ferry...
7 Reactions
18 Replies
465 Views
Nimebahatika kufika Kigoma siku tatu zilizopita. Nimeshindwa kuvumilia kituko cha barabara kutoka Gungu kwenda mpaka njia panda ya Kigoma mjini na Ujiji. Lakini pia Kituko cha barabara ya Kigoma...
2 Reactions
16 Replies
582 Views
Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma, Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour? Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko...
3 Reactions
5 Replies
257 Views
Anonymous
KERO
Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja...
3 Reactions
7 Replies
325 Views
Yani siku hizi huku kwetu maeneo ya Bunju, kwa siku umeme unaweza kukatika na kuwaka zaidi ya mara 10 kwa siku. Toka saa 12, umeme ushakatika na kuwaka mara 3 sasa. Unakatika haipiti hata dakika...
2 Reactions
7 Replies
182 Views
Anonymous
KERO
JamiiForums tupazieni sauti wanafunzi wa vyuo tunateseka hadi sasa hivi hatujapata boom la pili, hali ni mbaya, kula shida, madeni kila mahali hadi watu tunaona maisha magumi na wengi wetu hatuna...
2 Reactions
8 Replies
325 Views
Ni jambo la kusikitisha kuona stendi ya Nane Nane, Mbeya, ambayo ni kitovu cha usafiri kwa abiria wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali nchini, ikiwa gizani. Stendi hii ni chanzo kikubwa cha mapato...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Hivi Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya pamoja na Watu wako wa Mipango Miji wakati mlipokuwa mnawahamishia Wafanyabiashara katika Soko la Sido hivi mlifikiria suala la afya zao? Mlikuwa mnajua kabisa...
6 Reactions
37 Replies
1K Views
Mimi ni Mkazi wa Pemba ambaye mara nyingi nafanya shughuli zangu za Kibiashara Unguja na Dar es Salaam, kuna jambo moja ambalo limekuwa kero kwa muda mrefu na ninaona kuna haja ya Mamlaka kujua...
1 Reactions
6 Replies
599 Views
Huu ni mfano mzuri wa hali ya kushangaza katika usafiri wa umma! Kuendesha basi kutoka Mbeya hadi Dodoma na kurudi tena siku hiyo hiyo ni kazi ngumu sana. Inashangaza kuona dereva anafanya safari...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Waungwana hivi zile pesa tunazolipa wakati wa kuingia kwenye vyoo hasa maeneo ya Stand zinafanya kazi gani? Maana vyoo vingi vya Umma vina changamoto ya usafi na ukosefu wa maji bila kusahau...
1 Reactions
10 Replies
403 Views
Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Anonymous
KERO
Mhe. Waziri; Tafadhali rejea mada tajwa hapo juu, Kwa heshima na taadhima kubwa ninaomba kukuandikia nakuleta mbele yako maoni yangu binafsi na taarifa juu ya baadhiya masuala yanayojiri katika...
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nimekuja kwa mara nyingine. Kwa Mbezi maji yanakatika kila siku na wakati mwingine inaweza kuwa siku mbili na zaidi. Muda wa kukatika ni kuanzia jioni (kwenye saa...
2 Reactions
21 Replies
510 Views
Back
Top Bottom