KERO Threads

Wiki mbili baada ya mwandishi wa habari wa Gazeti la Nipashe kuzungumza na uongozi wa Wilaya ya Tunduru kutaka kujua kwanini Shule ya Msingi Magomeni ina madarasa mawili yaliyojengwa kwa nguzo za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtambo wa kupeleka maji ya ziwa Victoria Shinyanga na Tabora upo Misungwi, ambapo wakazi wake hawana maji. Hii nchi ina maajabu [emoji119]
2 Reactions
10 Replies
651 Views
Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Utendaji dhaifu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF umeitweza nchi kwa kiwango cha kufanya Sheria ya Bima ya Afya kusiginwa kwa soli za watoa huduma za afya wa sekta zote za umma na binafsi...
8 Reactions
37 Replies
4K Views
Kuna wakati na nyakati, msanii wa mziki haishi mbinguni na hawakilishi malaika, Waziri Mkenda ni mshamba sana narudia ni mshamba sana. Wimbo wa Zuchu content yake ni ya kitanzania na huu wimbo...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa...
10 Reactions
60 Replies
18K Views
Ujenzi wa reli hii ya kisasa kwa awamu ya kwanza kati ya Dar es salaam - Morogoro (Km 300), ulizinduliwa na Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli Aprili 12, 2017. Ilielezwa ujenzi wa mradi...
10 Reactions
23 Replies
4K Views
CHANGAMOTO TUNAZO PITIA WAGONJWA WA FIGO MUHIMBILI. Ndugu Mheshimiwa waziri zifuatazo ni changamoto tunazo pitia Kama wagonjwa wa figo. 1. Gharama za kuchuja damu (dialysis) ziko juu sana kwa...
12 Reactions
55 Replies
6K Views
Nape strikes again. Ukishaonja kula nyama za watu, kamwe hutoacha. Yuleyule aliyetuondolea bunge live wakati huo akiwa waziri wa habari kipindi cha utawala wa Magufuli, Leo tena akiwa na dhamana...
37 Reactions
110 Replies
11K Views
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuhusiana na ubovu wa Barabara ya Kimara – Bonyokwa, kumekuwa na ahadi nyingi lakini utekelezaji unasuasua. Tunafahamu juhudi za viongozi zinazofanywa, lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wananchi wa Mtaa wa Majengo, Kata ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu wako katika wakati mgumu kutokana na harufu kali na chafu inayotoka kwenye Dampo la takataka ambalo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi kweli tumeshindwa kutunza huu uwanja? Usafi wa vyoo na maeneo mengine imekuwa tatizo sugu lakini aibu kubwa zaidi ni sasa hata pitch imetushinda. Ni aibu National Stadium nyasi...
18 Reactions
78 Replies
6K Views
Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya. Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Nimepita maeneo ya Keko, kuanzia chuo cha Diplomasia kwenda Chang'ombe Mataa, kunajengwa barabara, ya mwendokasi. Lakini barabara ya kawaida sijaielewa, kwenda ni gari moja...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakubwa kwa wadogo. Hongereni kwa majukumu ya kila siku ya kujitafutia riziki. Niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba kujua ni kwanini national identity card iwe na expire...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Ni kipindi kirefu sasa kumekuwepo aina hii ya utapeli tulioubatiza jina la “TUMA KWA NAMBA HII”. Wapo waliofanikiwa kukwepa na wapo waliolizwa, na bado kuna wahanga watarajiwa. Haya yanatokea...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Ushauri wa bure kwa serikali ya awamu hii. Tumbueni hawa Tanroads Biharamulo. Sanjali na hili yaweza kuwa busara kuifunga kabisa barabara ya Rusahunga Benaco na ku i declare impassable kupisha...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Tumelizungumza sana hilo jambo la angalau barabara ile irekebishwe kwa kufukiwa mashimo makubwa lakini hakuna hatua yeyote inayochukuliwa na barabara imekuwa mbovu kupindukia! Ikumbukwe barabara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu. Kwa kweli nimeshangazwa sana ktk mabasi yaendayo haraka. Inakuwaje nakupa pesa yangu ya kutaka kupata tiketi, mfano nakupa 1000Tshs, unatakiwa unirudishie 350Tshs sababu nauli ni...
16 Reactions
88 Replies
8K Views
Back
Top Bottom