Hii ni stendi iliyopo katika Wilaya ya HAI mkoani Kilimanjaro, mahala panapojulikana kwa jina la Boma Ng'ombe, Stendi hii inamashimo shimo ambayo sio rafiki kwa watumiaji wa stendi hii.
Pia...
Habari wakuu,
Hii barabara ni mbovu sana naomba wahusika wafanyie kazi hata kama ni masika ubovu umezidi na imekuwa kero sana barabara ina mashimo kama mahandaki wabunge wapo wakurugenzi wapo...
Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya...
Hali ya barabara ya kuelekea Baraza la Mitihani kupitia Makonde, Mbezi Juu, Dar es Salaam inasikitisha sana na nashindwa kuelewa Serikali inawaza nini kiasi cha kushindwa kabisa kuirekebisha hii...
Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati.
Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana.
Mbunge wa Jimbo hilo la...
Nikiwa mkazi wa Mpiji ninaiomba serikali ijenge barabara ya Mbezi Mpiji kutokana na ubovu wa barabara ya vumbi iliyopo kwakuwa inasababisha uhaba wa magari ya abiria.
Ukitaka kujua ukubwa wa...
Nchi hii ya Tanzania baada ya uchaguzi wa mwaka 2020 chini ya mwendazake majimbo yote yalikua chini ya CCM likiwemo hili la Nyamagana chini ya uongozi wa Stanslaus Mabula.
Huyu mbunge sijui kama...
Barabara ya Banana Kitunda (Dar es Salaam) imekuwa ni kero kubwa sana kama vile hatuna viongozi wanaotusimamia.
Barabara ni mbovu na kila kipindi cha mvua usafiri ni shida na magari yanaharibika...
Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa.
Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji...
Kusumbuliwa kwa wafanyabiashara wadogo soko la Mwanga Kaskazini Kigoma.
Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinapinga vikali maamuzi ya Halmashauri ya Kigoma Ujiji ya kubadilisha utaratibu...
Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh...
Habari kaka? Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi JK Nyerere, iliyopo Manispaa ya Moshi. Mwaka jana uongozi wa shule uliitisha kikao cha wazazi na kueleza nia ya serikali ya kuigeuza...
Habari za wakati huu,
Asilimia kubwa ya Wanafunzi tunaohitimu masomo ya Shahada ya Kwanza katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) ambacho kipo Kigamboni hatujalipwa fedha zetu za...
Kitunda, Msongola na Kivule ni miongoni mwa kata zinazounda wilaya ya Ilala.
Licha ya kuwa kata hizo zipo iliyokuwa manisapaa ya Ilala ambayo imepandishwa hadhi na kuwa halmashauri ya jiji la...
Habari Wakuu,
Yaani inapotokea mvua katika jiji la Dar es Salaam ni kama adhabu kwa wakazi wa Mwanagati kuanzia kipande cha Kwa Mparange mpaka kituo Cha mwisho cha daladala Cha Mwanagati...
RPC Arusha tunaomba ingilia hili suala la traffic Police Arusha wamekuwa ni kero kusimamisha magari na kuomba hela.
Inakuwa kama hela ni haki yao uwe na kosa ama huna kosa. Arusha ni mji mdogo...
Hali ya vyoo vya IFM inahatarisha kwanza kumekuwa hakuna maji na usafi sio wa mara kwa mara vyoo ni vichafu sana. Uongozi wa chuo tunaomba mliangalie hili ili kuepuka mlipuko wa magonjwa chuoni.
Mchangamoto tunaopitia wakati wa kujaza gesi kwenye magari ni kero kubwa ya foleni inayotokana na wingi wa wenye uhitaji huku sehemu za kujazia zikiwa chache.
Hicho ni kikwazo kikubwa pia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.